Friday, July 13, 2012
Home »
» AMIGOLASI AFUNGUKA KUHUSIANA NA WANAMUZIKI WALIOTIMULIWA MASHUJAA NA KUTAKA KUJIUNGA NA TWANGA PEPETA SIKIZA
AMIGOLASI AFUNGUKA KUHUSIANA NA WANAMUZIKI WALIOTIMULIWA MASHUJAA NA KUTAKA KUJIUNGA NA TWANGA PEPETA SIKIZA
Related Posts:
BAADA YA KUIWEKA PEMBENI SUPER STARS BAND NA KUTUA KWA WANAJESHI WA RUVU STARS BAND WATAKA KURUDISHA ENZI ZA MABAND YA SERIKALI LAKINI NA USHINDANI KAMA ILIVYOKUWA ZAMANI MAGEREZA,POLIS JAZZ BAND KIMALUMALI NA NYINGINE WAACHIA TATU KWA MPIGO NI BAND INAYOUNDWA NA WANAMUZIKI WAZOEFU WA DANSI TANZANIA AKIWEMO ROGERT HEGGE CARTAPILA JE WATAWEZAA??? Band inayoundwa na wakongwe kama Rogert hegga( cartapila kilimanjaro),Amigolas,muhina panduka(toto tundu)khadija mnoga(kimobitel)waziwa kalala,jojoo jummane toka twanga pepeta,sele momba toka twanga pepeta,champion aliekuwa … Read More
Interview That Kid Bill meets #Christine Michelle from #Merita movement!! Christine Michelle is a 28 year old philanthropist, hairdresser, sound, art and style enthusiast. Impartial to academia, she spent the greater part of her youth creating and experimenting with art, crafts and textiles. Many blessed opportunities to travel internationally imbedded the travel bug deep in her soul which eventually landed Christine in the “heart of Africa” a city called Goma on the East border of Democratic Republic of Congo. Since time, she has spent an accumulated 19 months on the ground and several years moving back and forth between Vancouver and DRC. Christine’s second visit to the continent of Africa was one in which forever changed her life and as a result, her creative interests (plus a love of scissors and sewing machines) provided her the opportunity to develop a program called Healing Arts. A fixed class room at the hospital in Goma as well as rural community outreach spaces where women who have experienced sexual violence come together joyfully and learn a variety of skills and trades to create opportunities and income for themselves while they are within their healing process. Promoting community and individual growth through holistic development or an ‘appreciative inquiry approach’. The link to the four minute video of our conversation done at the #BavubukaHeadQuartersDynasty… Read More
CHALZ BABA AJITAPA KUCHUKUA TENA TUZO TANO KWENYE KILI ASEMA USHAMBA MZIGO NA THAMANI YA MTU NI KAZI TOSHA KWA KUIBUKA KIDEDEA MWAKA HUU MBIONI KUKAMILISHA ALBUM NYINGINE AMBAYO WATAIZUNDUA KUANZIA MWEZI WA SABA Rais wa mashujaa musica band amesema kwa mwa huu mfululizo watachukua tuzo tano tena kutoka kill music award kwa kuwa anaamini toka mwaka jana hakuna band iliyoweza kufanya vizuri zaidi yao tena na wameachia nyimbo mbili iki… Read More
MJUE TABU MAMBO SASA MCHEZA SHOW WA ENZI HIZO ALIEGEUKIA MIC NA KUWA MKALI WA MASAUTI SASA ANAPIGA NA BAND YA HOTELI LAKINI ASEMA YUKO MBIONI KUACHIA NYIMBO ZAKE MWENYEWE ASEMA MZIKI WA DANSI UNARUDI KWA KASI TABU MAMBOSASA si jina geni katika ulimwengu wa muziki wa dansi kam mfatiliaji ila kwa wale ambao inawezekana hawafahamu kabisa TABU ni mcheza show wa zamani(DANCER) mwanzoni mwa kiaka ya 90 hadi mwishoni mwa miaka ya 2000 a… Read More
DEKULA KAHANGA 'VUMBI' APANIA KURUDISHA LADHA ZA MUZIKI WA DANSI ZILIZOPOTEA KATIKA KIZAZI KIPYA YUKO MBIONI KUACHIA ALBUM YAKE YA THE BEST OF DEKULA,ASEMA MEDIA NDIO ZILIKUZA MUZIKI WA TANZANIA NA NDIO ZINAZOKANDAMIZA MUZIKI HUO KWA SASA Mwanamuziki wa siku nyingi ambae aliondoka nchini miaka ya 90 akitokea band ya Mrquis original baada ya kutoka congo na kuweza kufanya kazi kwa muda mchache na band waliyoianzisha ya CHAMWINO JAZZ na ndipo alipovutika na mar… Read More
.


0 comments:
Post a Comment