WAY

Friday, July 20, 2012

ANCO VENA AKUBALI KISHINGO UPANDE USHINDI WA DOGO RAMA ASEMA YEYE NDIE MKALI WA VOCAL LAKINI VIGEZO NA MASHARTI VIMEMPA DOGO RAMA

Mwimbaji mwenye sauti kali na ya kuvutia toka twanga pepeta ANCO VENA atabaisha bayana ujio wake mpya wa hivi karibuni ambapo yupo mbioni kuachia single itakayomtambulisha vizuri katika soko la muziki wa dansi na watu kujua uwezo wake zaidi huku akitabanaisha kuwa ujio huo ni ule muoendelezo wa kundi la watanzoo ambalo ni watanzania walioungana na kuumba muzki wa rhumba ambao wengi wanafikira kuwa hakuna watanzania wanoweza kufanya hivyo hivyo vijana wanne wakajiunga na kuweza kufanya kazi hizo ambapo tayari nyimbo mbili wamekwisha zitoa moja ikiwa imeanza kumtoa mwimbaji kutoka EXTRA BONGO ATANAS MONTENABE ambae kwa yuko nchini FINLAND wakifanya show na band yake ya EXTRA BONGO na ya pili ni ya MWANANGU ambayo imemtoa rapa na mtunzi wa twanga pepeta GRAYSON SEMSEKWA.na ya tatu ni yake yeye ANCO VENA ambae wiki ijayo ataibuka na wimbo wake binafsi akishirikia na kundi lake la WATANZOO
                                        ANCO VENA AKITIA VOCAL
Lakini pia anco vena amesema kwa mashabiki wa twanga wakae mako wa kula baada ya kuitambulisha nyimbo yao mpya ya muumini mwinjuma MAPAMBANO YA KIPATO amesema baada ya hapo ni ujio wke mpya kwa twanga na ss twanga ya sasa haikamatriki tena na wala haijatetereka kwani waliobaki twanga kwa sasa ni kila mmoja na uwezo wake hivyo kufanya kila nyimbo watakayotoa iwe na ubora na kupendwa sana na mashabiki wa TWANGA PEPETA.
Mbali na hilo vena akizungumzia ushindi wa dogo rama amesema maekubali kwa kuwa ni uchaguzi wa majaji lakini kwa mashabiki ndio wanajua nani mkali wa vocal na hilo hata dogo rama mwenyewe anajua kuwa yeye ndio mkali wa masauti mbali ya kuwa ameangushwa na msanii huyo anaeibuka kwa kasi ya ajabu katika tasnia ya uimbaji wa dansi kwa sasa.
na pia vena amesema amepokea ushindi huo kwa furaha kwa kuwa ni ushindi wa twanga pia kasababu ni wasanii wa band tofauti walikuwa katika shindano hilo
                                            ANCO VENA AKIWA NA KING RAMA

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...