WAY

Friday, July 27, 2012

RAPA ANAEKUJA JUU TWANGA NA INASEMEKANA NDIE MRITHI WA MSAFIRI DIOF AIBUKA NA WIMBO WA WALIMWENGU UNAOTIKISA KATIKA KUMBI MBALI MBALI IKIWANI KATIKA ALBUM YA 12 YA TWANGA

HUKU akisistiza kuwa kamwe hawezi kuondoka twanga hata iweje yeye na twanga damu damu na wakati huo huo akiwa ameibuka na nyimbo ya WALIMWENGU ambyo kwa mujibu wake yeye kuwani historia ya kweli huyo ndio JUMMANNE au j4 kutoka twanga pepeta ambaye anatamba na rap kama mtu mzima ovyo lakni pia ndie mume halali wa ASHA SHARAPOVA a.k.a MAJANGA mcheza show wa twanga pepeta ambae kwa sasa ndio natikisa zaidi katika safu ya unenguaji je akizungumzia wimbo wa walimwengu amesema aliitunga wimbo huo wakati watu flani walivomtendea ubaya ingawa yeye hakuwahi kuwam baya kwao.
                                    J FOUR AKIWAJIBIKA JUKWAANI
AIDHA J4 amefunguka kuhusiana na kuhama babd hiyo na kuelekea band yoyote amesema yeye ni twanga na hajwahi kufikiria hata siku moja kuwa kama atahama band hiyo kwa kuwa wao sasa ndio kizazi kipya cha twanga daima atabaki twanga na kuwaahidi mashabiki wake kuwa anafanya kazi twanga na wasifikirie kama ataweza kutoka katika band hiyo.
                                 J4 AKIWA NA GREY WAKISHAMBULIA JUKWAA
J4 ameendelea kufunguka kuwa tayari yupo mbioni kuachia album yake binafsi aliyoipa jina la mapinduzi ambayo tayari amekwisha tengeneza nyimbo nne ambazo ataanza kuziachia moja baada ya nyingine ili kuwaonyesha mashabiki wake uwezo wake kamili. 
                                   GREY SEMSEKWA,J4 NA ANCO VENA

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...