WAY

Wednesday, July 11, 2012

EXTRA BONGO KUTUMIA MWEZI MZIMA KWENYE TOUR ULAYA WAKIANZIA FINLAND WATAPANDA PIPA JUMAMOSI SASA TIRIRIKA

Nikiuongea na mkurugenzi wa extra bonge le  KAMARADE ALLY CHOKI IGWE amesema mbali ya kuwa na uwanja wao wa nyumbani kwa sasa unaojulikana kama BONGO RESORT uliopo maeneo ya kimara korogwe ambapo ukumbi huo utaendeshwa na yeye mwenyewe kuanzia vinywaji chakula mpka kupiga band
                                            ME AND ALLY

lakini amesema katika kuelekea mwezi mtukufu wa ramadhani band hiyo imepata mualiko wa kwenda kufanya show kadhaa nje ya nchi wakianzia FINLAND ambapo huko mbali ya kupiga show pia watamalizia video za album yao ya sasa kwa nyimbo mbili zilozo baki ikiwa na maana kwa sasa washafanya video nne za album yao ambayo imekwisha iva bado kupakuliwa tu lakini pia watafanya remix ya nyimbo zao za zamani kwa producer aliewahi kutamba nchinni MIKA MWAMBA ambae kwa sasa anafanya shughuli za muziki huko huko finland ambapo ndio asili yake ALLY CHOKI amateja nyimbo atakazoenda kuzirekodi upya ni pamoja na duble duble,reginal mwanazanzibar,tatu mara tatu na na kuweza kuziuza katika show zingine zitakazofata huko.
                                    EXTRA BONGO NEXT LEVEL

mbali na hilo ALLY amenidokeza pia baada ya kurudi kutoka huko watafanya ziara karibu tanznaia nzima katika kuweza kuitambulisha album yao ambayo watakakuja kuizindua baaada ya ramadhani kuisha na wao kurejea nchini.
                                   ally choki wakati akimalizia video ya NEEMA

Baadhi ya nchi alizosema wataenda kupiga hizo show ni pamoja na FINLAND YENEWE.HOLLAND,USWISI,NORWAY na nchi nyingine watakayokua wamepewa mwaliko

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...