WAY

Tuesday, July 17, 2012

GREYSON AFUNGUKA KUHUSIANA NA UTUNZI WAKE WA SHAMBA LA TWANGA WIMBO UNAOTIKISA KWA SASA ALIZUNGUMZIA PIA KUNDI LA WATANZOO

Rap nambar moja wa TWANGA PEPETA INTERNATIONAL GREYSON SEMSEKWA amefunguka na kusema alitunga wimbo wa shamba latwanga pepeta baada ya kuona kuwa karibu kila mwanamuziki wa kitanzania anaetamba sasa lazima anakua amepitia twanga pepeta na hata wanaondoka inakua ni matunda mazuri ya twanga lakini pia amepongeza hatua hiyo ya wanamuziki kuchukuliwa na band tofauti tofauti ameipopongeza na kusema ndio chanzo cha kuweza kuibua vipaji vilivyojificha ambavyo vingi vinaibukia kutoka kundi la twanga pepeta ingawa amesema wengine wanachukua wanamuzi pasi utaratibu na mwisho wa siku wanawafukuza na kuwakosesha uelekeo wao katika muziki na familia zao pia.
GRAYSON AKIGHANI JUKWAANI
PIA GREYSON ambae kipindi cha nyuma alishwahi kukumbwa na maswahibu ya kuvimba koo na kuonekana kama ni mkono wa mtu lakini baadae amakaa vizuri na kurejea tena katika muziki amelizingumzia kundi ambali litakua linarekodi muziki wa rhumba na wako mbioni kutoa album kundi hilo linaloundwa na na yeye mwenyewe GREYSON,ATANAS kutoka EXTRA BONGO, BADI BAKULE kutoka TWANGA na tayari wamesharekodi nyimbo mbili ambazo zinatamba kwenye vituo vya radio kama vile DARAJA LA FRED NA MWANANGU ambapo ndani yake waliwashirikisha wasanii kama HAJI RAMADHANI NA ANCO VENA toka  TWANGA

                                                 GREY AND ME
AIDHA GREYSON amesema kuwa yuko mbioni kuipua wimbo mwingine ambao unaweza ukawepo kwenye album mpya ya tanga au inayokuja inayoitwa PASTOR akifafanua kwa kusema kuwa huwezi kulazima uwe pastor kwa sababu ule ni wito na kipaji toka mwenyemungu vinginevyo utaonekana wa ajabu
 huyo ndie kichaa akipewa rungu waliombeleee eeeee............ na sasa amekuja na rap mpya SI SAIZI,USIMUIGE KASUKU KUONGEA na nyingine nyingi

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...