Jina la TAIYA ODERO jina SUZAN JUMA ODERO ni jina geni katika filamu lakini pia ni ambalo linakuja kwa kasi sana kutokana na kipaji alichonacho mwanadada hyuo aliengia katika tasnia ya filam mnamo mwaka jana lakini akiwa tayari akiwa ameshacheza movies mbili tatu zilizotikisa katika medani ya filamu za kiswahili nchini tanzania.
TAIYA
Kutokana na hilo blog hii iliamua kumtafuta na kufanya nae mahojiano katika kipindi cha extra africa kinachorushwa na safari radio toka mtwara tanzania na alifunguka mengi sana kuhusina na soko la filamu TANZANIA na kusema mara nyingi wasanii wa wanatengeneza filam mfululilizo na zinakua hazina ubora ni kutokana na maslahi ambayo ni madogo yanayopatikana katika soko la filamu licha ya kuwaona wasanii ni maarufu ila wanachokipata ni tofauti sana umaarufu wao na ndio mamana wao wakaanzisha kampuni ya usambazaji wa filamu ambao watakua wanasambaza filamu
akiongelea swala zima la tasnia ya filamu kukumbwa na kashfa za ukahaba kuwa kuna wanaofanya filamu bora mradi wameonekana na wanafanya hivyo hata mara nyigine kutembea na maproducer ili aweze kupata sehemu nzuri katika filamu huku uwezo wake ukiwa ni mdogo na ndio matokeo yake hata wengine mbali ya kufanya hivyo kwa wale wasiojielewa wanaanza kutafuta waandishi wa habari ili kutengeneza story na kuwafanya wajulikane zaidi kushinda uwezo wao wa uigizaji
lakini pia TAIYA alizungumzia kuwa na mgogoro uliopo wa kivyama mara bongo movies mara chama ch wasanii nao ni tatizo linalosumbua sana na kuwafanya wasanii kuonekana hawana msimamo inapifika wakati wa kutafuta maslahi yao kwa ujumla.
SUZAN ODERO a.k.a TAIYA ODERO
TAIYA OKERO amsema wamenzisha kampuni ya PAPAZII ENTERTAIMENT na tayari imekwisha sambaza filamu kama TIME AFTER TIME,MR PRESIDENT, lakini pia amsema filamu ambazo wanataraji kuzisambaza na zinatoka mwezi huu IVAN TEARS,69 RECORD,MY PRINCESS pamoja na kuisambaza DVD YA DIAMOND ARE FOREVER ikiwa ile show ya diamond iliyofanyika mlimani city
Lakini pia TAIYA ametamba kwenye filamu ya GENERATION,KOSA LANGU,JUMBA BOVU na kwenye tamthilia ya RED APPLE huku akiwa mbioni kutoka na movie ambazo zitakuaja hivi karibuni za RADHI YA MKE,NA INJINIA

0 comments:
Post a Comment