WAY

Wednesday, July 4, 2012

JE WAJUA MSANII ELIZABERTY CHIJUMBA KWA SASA ANAJULIKANA KAMA FATHIA CHIJUMBA ALMAARUFU NIKITA NI MOJA KATI YA WAIGIZAJI WALIOINGIA KWA MUDA MREFU KWENYE BONGO FILM NA MWENYE MAFANIKO NA TASNIA HII NA NI MSANII PEKEE ASIE KUWA NA SCANDEL ZA AJABU ANAETAMBA KWA SASA!?

Zamani alikua najulikana kama ELIZERBERT CHIJUMBA kabla ya kufunga ndoa na msanii mwenzake KHLAFANI almaarufu kama KEVIN na baadae kubadilisha jina na kuitwa FATHIA CHIJUMBA lakini pia ni maarufu sana kwa jina la NIKITA jina ambalo alilipata wakati akifanya tamthilia fupi fupi za kwenye tv ile iliyokua ikiongozwa na CHUZDAY KIHANGALA iliyokuwa ikiitwa
JUMBA LA DHAHABUambapo hapo alijizolea umaarufu mkubwa sana katika tasnia ya maigio hayo ya filamu lakini kwa mujibu wa nikita alivyozungumza na kipindi cha extra africa katika kona ya mastaa wa bongo amesema kwenye game yeye maeingia toka mwaka 2003 huku filamu yake ya kwanza ikiigiza na nguli wa sasa wa movies JACKOB STEVIN AS JB,

                                             NIKITA ALIPOPOKEA TUZO
NIKITA ambae alishawahi kupata tuzo ya muigizaji bora wa kike chipukizi  amebainisha mengi sana yanayo mkera katika tasnia ya filamu bongo ikwemo kuwepo kwa vyama visivyoeleweak ambavyo vimemfanya mpka sasa asiwe chama chocote si bongo movies wala chama chochote kilichoundwa kwa madai ya maslahi ya soko la filamu bongo
 na hivyo amajikuta akiwa nyutro zaidi zaidi akifanya kazi mtu yoyote atakae taka afanyanye nae kazi huku akisisitiza kwa mtindo huu wa kutokua na mshikamano kufika tutafika ila wamechoka sana kutokana na kutokua na maelewano mazuri katika tasnia hii na pia maezungumzia swala zima la wasichna wengi kujirahisi kwa maproducer kwa kuhofia uwezo wao kuwa mdogo sasa wakitaka kuwekwa kwenye scen kubwa katika filamu,

MBALI na hilo pia amesema kuwa scendo pia sio kigezo cha kuonekana bora kwenye filamu bali kazi kwa hiyo wanaotengeneza skendo kwa ajili ya kupanda chati anawashangaa sana na na huku akitabainisha kuwa watu au wasanii hiyo wapo wananunua page za magazeti ili kujiongezea umaarufu.

NIKITA amesema sasa yupo mbioni kuziachia filamu zake kali tatu ambazo anaamini zitamuingizia sana ingawa anasema sio kwamba wa wanapenda kutengeneza party one two hadi three hii inatokana na kuwa filamu kwa sasa hailipi  vile ambavyo watu wanafikiri ingawa yeye kupitia filamu amweza kujenga, na kwa sasa ni mama wa mtoto mmoja alizaa na halfani na anamsomesha mwanae kupitia bongo film
 zaidi listen on www.safariradiotz.com

0 comments:

Post a Comment

.

.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...