WAY

Friday, July 13, 2012

VUNJA JUNGU DIAMOND PLATNAM KUTIKISA KUSINI LEO NA KESHO KUANZIA MASASI LEO NA KESHO NI MTWARA TOWN

MSanii wa kizazi kipya anaetikisa katika medani ya mziki wa bongoflever kwa sasa huku ngoma yake ya kizaizai ikianza kutikisa kinouma nouma kwenye vituo vya radio leo anafanya bonge moja lashow  wilyani masasi katika ukumbi wa emirates hii ikiwa ni katika kuelekea kuvunja jungu NA KESHO TAR 14 kumalizia show yake ndani ya mtwara town
 akiwan kundi lake zima la wasafi diamond ataanza show yake saa 3 za usiku mpka kuchwele ndani
                                  PLATNUM AKIWA NA WASAFII
diamond msanii ambae ni wa pili kwa gharama za kufanya baaada ya lady jay d ambae ni milioni kumi kwa show moja lakni diamonf ni milioni nane kwa show moja na ni msanii ambae kwa sasa ndie nanepiga show nyingi sana zinajaza watu
DIAMOND KWENYE POZI

KAA TAYARI KWA SHANGWE YA DIAMOND

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...