WAY

Friday, July 20, 2012

BAADA YA KUSHINDA SHINDANO LA MKALI WA MIC LILILOANDALIWA NA CLOUDS FM KING RAMA MAPAFU YA FARASI AFUNGUKA

Zamani alikua najulikana kama DOGO RAMA baadae ikawa VUALLA lakni kwa sasa ni KING RAMA a.k.a MAPAFU YA FARASI afunguka na kutirirka kuhusina na ushindi alioupata kaitka shindano la kumtafuta mkali wa mic na kusema kwa sasa njia ndio imefunguka na mashabiki wa rama na twanga wakae mkao wa kula kwa kupata vitu vingine vikali zaidi na pia akiwa anatumai pia katika mashindano ya kili misic awards mwakani kama yaatendeshwa kwa uhalali basi ataibuka tena kidedea kwa sababu kwa sasa wadau washajua muziki ni nin na ndio maana wakamchagua yeye kuwa mkali kushinda wasanii wanaochipukia katika muziki wa dansi
                                 KING RAMA AKIWA NA KHADIJA MNOGA
KING RAMA amewaangusha wanamuziki wengine kama kina ANCO VENA,ATANASI,CHALZ BABA,
na wengine kibao kutoka band tofauti tofauti ambao walikua zaidi ya 20.

                                 KING AKIPOKEA TUZO YA MKALI WA MIC
KING RAMA amesema kwa motisha hiyo sasa yuko mbioni kuaanda album yake nyingine baada ya kilometa 10000 ili kuwapa mashabiki kile wanachotaka na wasiweze kumsahau haraka na kusema hiyo yote ni kutokana na juhudi zake binafsi katika kufanya mziki kama kazi sio kama waliokosa kazi
king rama kwa sasa ndie roho ya TWANGA PEPETA katika uimbaji akiongozana na ANCO VENA. MUUMINI MWINJUMA,GRAYSON,J4 na wengine kibaooooo.
                                   KING RAMA a.k.a mapafu ya farasi


0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...