WAY

Friday, July 13, 2012

AMIGOLASI BABAA NA SOPHII WA TWANGA AFUNGUKA KUHUSIANA NA SAKATA LA WANAMUZIKI WALIOACHWA MASHUJAA NA KUTAKA KUJIUNGA NA TWANGA NA KUSEMA KISIMA KIMEJAA PIA AELEZEA LENGO LA TWANGA ACADEMIA NA SASA WAJA NA NYIMBO NYINGINE MPYA BAADA YA SHMAMBA LA TWANGA

Meneja wa twanga pepeta kwa sasa AMIGOLASI amesema kuwa kwa sasa hawananafasi ya kuongeza wasanii twanga na wale walioachwa na mashujaa haadhani kama kuna nafasi tena ya twangwa lakini pia amsema hayo yote ni kutokana na kuendesha band kiholela na ndio maana wakurugenzi wa mashujaa wameshaanza kujikanyaga kwa kuwafukuza wanamuziki au kuwapunguza bila sababu wanamuziki kwa kuwa hawakujipanga awali wakati wanachukua wanamuziki kila mahali pasi kujua mwisho wao na uwezo wao
                                                               AMIGOLAS
lakini amesema kwa sasa twanga wanakuja tena wimbo mwingine mpya uliopewa jina la walimwengu uliotungwa na rapa chipukizi J4 au bwana harusi ikiwa maetoka kumuoa mwanamuziki mwezie wa amabaye ni mcheza show sharapova na kusema wako mbioni kuurekodi lakin kwa sasa tayari usjhaanza kupigwa katika show zao mbali mbali ambazo wanazipiga jijini dar

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...