WAY

Friday, July 6, 2012

IBRA AWEKA BAYANA KILICHOMTOA MASHUJAA MUSICA BAND NA KUSEMA MAJUNGU NDIO YALIYOMUONDOA WAKATU HUO HUO MENEJA WA MASHUJAA MARTIN SOSPTER NAE AFUNGA KUHUSIANA NA HILO

Rap wa muda mrefu wa mashujaa hatimaye atemwa na mashujaa musica band katika ile wanayosema panga la kupunguza wingi wa wanamuziki wasio na kazi nyingi na wenye uwezo usio na ushindani
Ka mujibu wa IBRAHIM au IBRA MIRINDA AU MIRINDA NYEUSI kama wengi wanavomfahamu amesema mchanganyiko wa wasanii ndio uliofanya atoke pamoja na majungu ya watu wanaojifanyawako karibu na mkurugenzi na badala yake wamepeleka uzushi ambao mwisho wa usiku umefanya aweze kutemwa katika band bila kujali safari ndefu alipotoka nayo mpka ilipofikia na kuongeza kuwa kama mashujaa itaendelea ivo basi haitafika mbali itapotea,
                                               IBRA MIRINDA
lakini pia ibra mirinda amesema mbali ya kutemwa huko sio kwamba ni mwisho wa muziki kwake ataendelea kufanya na wiki hii inapumzika ila anafikilia kwenda kufanya kazi band kubwa ingawa hajaitaja ni band gani na amekataa kulisema hilo  na kusema ni mapeme mno.

                                POZI LA IBRA MIRNDA WKATI WA UZINDUZI DUNIA DARAJA
Kwa  upande wake meneja mpya wa mashujaa MARTIN SOSPETER ambae alikuwepo wanga kipindi hicho amesema wameamua kupunguza wanamuziki kutoka na gharama za uendeshaji zilivyo na wanachoingiza mwisho wa siku kinaishia kwa wanamuziki tu ivo wameamua kupunguza kwanza kuweza kumeji wanamuziki na dispilin pia kupunguza wanamuziki lakini nilipomuuliza kwanini ibra mirinda amesema wameamua ibra kwa kuwa yeye mwenyewe anamjua mirinda toka yupo vibrationa kabla haijanunuliwa na mashujaa na kuona uwezo wake umepungua sio kama ule wa awali na ndio manaa wamaeamua kumtema na kusema mpiga tumba pia wametupa kwa kuwa tumba anaweza kupiga mtu mmoja tu na pia ameongeza kwa kusema kuwa watazidi kuwapunguza kutokana na utendaji wa kazi za wanamuziki 

                                             MARTIN SOSPETER
                                MARTIN SOSPETER WA KWANZA KULIA WAKT WA TWANGA
MARTIN pia amefafanua yale aliyoyasema ASHA BARAKA mkurugenzi wa twanga kuwa wameshindwa kuwamaneji pamoja na kuwachukua kwa pesa nyingi sasa wanarudi kwake kumlilia njaa na kusema huo ni uongo na anataka aonekane amesema kwa kuwa amepata kwa kusemea lakni ukweli ni kwamba hakuna mwanamuziki alietoka twanga ambaye amefukuzwa mashujaa!

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...