WELCOME TO GMBONGO BLOG

To keep the body in good health is a duty... otherwise we shall not be able to keep our mind strong and clear.

WAY

Friday, May 24, 2013

RAPA MACHACHARI WA TWANGA PEPETA ANAEKUJA JUU KWA SASA JUMANNE SAID MAARUFU KAMA J4 AMESEMA KUWEKWA KWENYE KINYANG'ANYIRO CHA KUWANIA RAPA BORA WA MWAKA WA BENDI NI HATUA KUBWA KWAKE NA ANAJIAMINI VYA KUTOSHA KUWAPIKU WENGINE AWASIHI WADAU WASIANGALIE MAJINA WAANGALIE KAZI YA MWAKA JANA

katika kinyang'anyiro cha rapa bora wa bendi katika kilimanjaro music awards wapo FURGUSON mzee wa kisigino,kibega,maskini jeuri lakini pia yupo SAUTI YA RADI YANIK NOAH wote kutoka mashujaa lakini pia yupo GREYSON SEMSEKWA toka twanga pepeta lakini yupo JONIKO FLOWER toka skylight band pamoja na j4 kutoka twanga pepeta ambae amesema licha ya kuwekwa na wakongwe kama hao...

Tuesday, May 14, 2013

BAADA YA UZINDUZI WA AUDIO NA VIDEO YA ALBUM YA RISASI KIDOLE SASA MASHUJAA MUSICA BAND KUPELEKA ALBUM HIZO MIKOANI KWA SHOW WATAKAZAZOFANYA

BAADA ya kufanya uzinduzi wa album yao ya risasi kidole kwa kuweza kutoa video na audio za nyimbo zilizopo kwenye album hiyo sasa mashujaa musica kuzunguka karibu kila mkoa na kufanya maonyesho kwa ajili ya kuweza kuitambulisha album hiyo mikoani pamoja na kuweza kuuza album yao ya risasi kidole yenye nyimbo nane ikiwemo RISASI KIDOLE,TIKISIKA,UNGENIELEZA,UMENINYIMA na nyinginezo aidha...

Monday, May 6, 2013

LUIZA MBUTU AFUNGUKA KUHUSIANA NA KUSOGEZA MBELE UZINDUZI WA ALBUM YAO MPYA LAKINI PIA CATEGORY MPYA YA MWANAMUZIKI BORA WA WA KIKE WA MUZIKI WA BAND ASEMA ALIOPANGWA NAO HAJUI VIGEZO VIPI VILITUMIKA KWA SABABU HAENDANI NAO SANA LAKINI AOMBA KURA ZA MASHABIKI WAKE

KIONGOZI wa twanga pepeta LUIZA NYONI MBUTU afunguka kuhusiana na category za kili music awards na kusema kuwa hajui ni sifa zipi zilitumika kuweza kumuweka katika category hiyo ya muziki wa dansi akiwekwa na na wasanii ambao ni chipukizi katika muziki wa band huku wakiwa wameachwa wasanii wakongwe ambao wapo kwenye game kwa muda mrefu kama vile kina KHADIJA MNOGA wa EXTRA...

Friday, May 3, 2013

LICHA YA KUWEKWA KWENYE KUNDI MOJA NA WAKONGWE KATKA KINYANG'ANYIRO CHA MUIMBAJI BORA WA KIUME KATIKA MUZIKI WA BAND DOGO RAMA ASEMA KAZI YAKE NDIO ITAKAYOMFANYA ACHUKUE TUZO HIYO PIA APONGEZA KILI KUONGEZA CATEGORY HIYO AMBAYO HAIKUWEPO HAPO AWALI ILA AKRI BADO KUNA MAPUNGUFU

Akiwa katika kundi moja na CHALZ BABA,GERYSON SEMSEKWA,JOSE MARA,KHALID CHOKORAA, dogo rama ambae kwa sasa ndio muimbaji tegeneo twanga pepeta internationa amsema amafurahi sana kwa sasa kutambulika kwa kazi anayoifanya na sasa sio dogo tena na amekua kimuziki na ndio maana akaonekana na wadau wa muziki na kumfanya aweze kuwekwa knundi moja na wakongwe kwa kuwa kazi yake...

Wednesday, May 1, 2013

BAADA YA KUFANYA UZINDUZI WA KWANZA WA AUDIO SASA MASHUJAA MUSICA KUZINDUA AUDIO NA VIDEO YA ALBUM YAO A RISASI KIDOLE JUMAMOSI YA TAR-11 KUSINDIKIZWA NA FM ACADEMIA WAZEE WA NGWASUMA

Akiongea na blog hii leo asubuhi director wa mashuja musica band KING DODOO LA BUJE amesema kwa sasa taari album ya risasi kdole imekisha kamilika kwa kila kitu na tayari kuingia sokoni moja kwa moja ambapo tar 11 mwezi huu pale BUSNESS PARK ambapo watakwenda kutambulisha album yao ya risasi kidole upande wa video huku akiongeza kuwa kwa sasa uuzaji wa album hiyo itakua ni...

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...