WAY

Monday, May 6, 2013

LUIZA MBUTU AFUNGUKA KUHUSIANA NA KUSOGEZA MBELE UZINDUZI WA ALBUM YAO MPYA LAKINI PIA CATEGORY MPYA YA MWANAMUZIKI BORA WA WA KIKE WA MUZIKI WA BAND ASEMA ALIOPANGWA NAO HAJUI VIGEZO VIPI VILITUMIKA KWA SABABU HAENDANI NAO SANA LAKINI AOMBA KURA ZA MASHABIKI WAKE

KIONGOZI wa twanga pepeta LUIZA NYONI MBUTU afunguka kuhusiana na category za kili music awards na kusema kuwa hajui ni sifa zipi zilitumika kuweza kumuweka katika category hiyo ya muziki wa dansi akiwekwa na na wasanii ambao ni chipukizi katika muziki wa band huku wakiwa wameachwa wasanii wakongwe ambao wapo kwenye game kwa muda mrefu kama vile kina KHADIJA MNOGA wa EXTRA BONGO au DEBORAH NYANGE  wa KALUNDE BAND lakini amesema mwisho wa siku wachaguzi wa wa mwisho ni mashabiki hivyo hata kama ni mkongwe katika category hiyo lakini bado atahitaji kura za mashabiki lakini vile ameomba watu waweze kuchagua band bora ya mwaka ya twanga pepeta na wimbo bora wa mwaka wa SHAMBA LA TWANGA
NAMBA YA KUMPIGIA LUIZA KUSHINDA NI..ANDIKA AM2 KISHA TUMA15345...
AIDHA LUIZA amesema kutokaana na kaza nyingi walizokua nazo ndio zimesababisha wapeleke mbele uzinduzi wa album yao mpya ya twanga pepeta ambayo bado haijapewa jina na kusema na kwasasa wako mbioni kuingia studio kumalizia wimbo mmoja uliotungwa na badi bakule na baada ya hapo watakamilisha video yake na mwezi huo wa sita watazindua audio pamoja na video kabisa
 

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...