WAY

Friday, May 24, 2013

RAPA MACHACHARI WA TWANGA PEPETA ANAEKUJA JUU KWA SASA JUMANNE SAID MAARUFU KAMA J4 AMESEMA KUWEKWA KWENYE KINYANG'ANYIRO CHA KUWANIA RAPA BORA WA MWAKA WA BENDI NI HATUA KUBWA KWAKE NA ANAJIAMINI VYA KUTOSHA KUWAPIKU WENGINE AWASIHI WADAU WASIANGALIE MAJINA WAANGALIE KAZI YA MWAKA JANA

katika kinyang'anyiro cha rapa bora wa bendi katika kilimanjaro music awards wapo FURGUSON mzee wa kisigino,kibega,maskini jeuri lakini pia yupo SAUTI YA RADI YANIK NOAH wote kutoka mashujaa lakini pia yupo GREYSON SEMSEKWA toka twanga pepeta lakini yupo JONIKO FLOWER toka skylight band pamoja na j4 kutoka twanga pepeta ambae amesema licha ya kuwekwa na wakongwe kama hao katika kinyang'anyiro hicho lakni yeye bado anaimani ataweza kuibuka mshindi kutoka na kazi aliyoifanya maka jana huku akiwasihi wadau wa kupiga kura wasiangalie majina wala kazi za kipindi hicho bali waangalie kazi ya mwaka jana alioifanya katika wimbo kama SHAMBA LA TWANGA ambapo ameshirikiana kwa uziri kabisa na geryson semsekwa ambae amesema ndie anaemhofia peke yake katika tuzo hizo
                                             rapa wa twanga pepeta jummane said(j4)
lakini mefunguka kuhusiana na wimbo wake mpya uliokatika album inayokuja ya twanga pepeta wa walimwengu na kusema ni wimbo alioutunga kwa hisia zote na utakuja kuwa wimbo bora kabisa wa dansi katika siku za baadae

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...