WAY

Tuesday, May 14, 2013

BAADA YA UZINDUZI WA AUDIO NA VIDEO YA ALBUM YA RISASI KIDOLE SASA MASHUJAA MUSICA BAND KUPELEKA ALBUM HIZO MIKOANI KWA SHOW WATAKAZAZOFANYA

BAADA ya kufanya uzinduzi wa album yao ya risasi kidole kwa kuweza kutoa video na audio za nyimbo zilizopo kwenye album hiyo sasa mashujaa musica kuzunguka karibu kila mkoa na kufanya maonyesho kwa ajili ya kuweza kuitambulisha album hiyo mikoani pamoja na kuweza kuuza album yao ya risasi kidole yenye nyimbo nane ikiwemo RISASI KIDOLE,TIKISIKA,UNGENIELEZA,UMENINYIMA na nyinginezo
aidha mashujaa musica ndio band pekee iliyokatika categori nyingi katika kinyang'anyiro cha tuzo za kili music awards ambapo  wanamuziki wake watatu wameingia kwenye vinyang'anyiro hivyo akiwemo chalz baba mwenyewe presdent ambae yupo kwenye vipengele viwili vya mwanamuziki bora wa kiume wa band pamoja na mtunzi bora wa nyimbo za band lakini pia wapo marapa wawili ambae ni SAUTI YA RADI na FURGUSON lakini wakiingiza wimbo wa risasi kidole kuwa wimbo bora wa mwaka wa band na vile vile band bora ya mwaka
                                   PREZDAA WA MASHUJAA CHALZ BABA KAZINI

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...