WAY

Friday, May 3, 2013

LICHA YA KUWEKWA KWENYE KUNDI MOJA NA WAKONGWE KATKA KINYANG'ANYIRO CHA MUIMBAJI BORA WA KIUME KATIKA MUZIKI WA BAND DOGO RAMA ASEMA KAZI YAKE NDIO ITAKAYOMFANYA ACHUKUE TUZO HIYO PIA APONGEZA KILI KUONGEZA CATEGORY HIYO AMBAYO HAIKUWEPO HAPO AWALI ILA AKRI BADO KUNA MAPUNGUFU

Akiwa katika kundi moja na CHALZ BABA,GERYSON SEMSEKWA,JOSE MARA,KHALID CHOKORAA, dogo rama ambae kwa sasa ndio muimbaji tegeneo twanga pepeta internationa amsema amafurahi sana kwa sasa kutambulika kwa kazi anayoifanya na sasa sio dogo tena na amekua kimuziki na ndio maana akaonekana na wadau wa muziki na kumfanya aweze kuwekwa knundi moja na wakongwe kwa kuwa kazi yake ni kubwa ambayo  inatambulika na jamii kwa sasa hivyo kwa kuwa alishawahi kuwabwaga wengine katika kinyang'anyiro cha mkali wa sauti sasa safari hii hao wengine wakae mkao wa kuambulia patupu kwa kuwa watanzania washajua kazi nzuri ni  ipi na mbaya ni ipi
                                                  dogo rama a.k.a bulldoza
aidha dogo rama amesema hivi karibuni anatarijia kuachia kazi yake mpya ambayo itakua kwenye album yake mpya ya kilometa 10000 party 2 kazi itakayokwenda kwa jina la chuki bila sababu

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...