WELCOME TO GMBONGO BLOG

To keep the body in good health is a duty... otherwise we shall not be able to keep our mind strong and clear.

WAY

Tuesday, August 30, 2011

JE UNATAKA KUFURAHI IDD NA MUZIKI WA DANSI TANZANIA SASA NIFUATE MIMI HAPA CHINI

EXTRA BONGO a.k.a WAZEE WA KIZIGO Watakua meeda pub pande za sinza ambapo watapiga show idd mosi na kuzitambulisha nyimbo zao mpya kabisa ambazo ambazo zitakuwepo kwenye album yao mpyaa kabisa ambayo itazinduliwa mwishoni mwa mwezi wa tisa au mwishoni mwa mwezi wa kumi extra  bongo inaundwa na wakali kibao ambao walitamba na wanatamba katika muziki wa dansi kama...

Monday, August 29, 2011

KAA TAYARI KWA TWANGA PEPETA SIKUU YA EAD NDANI YA MANGO GARDEN NA UTAMBULISHO WA NYIMBO ZAO MUPYAAA

Baada ya mapumziko wa mwezi mzima kuupisha mwezi mtukufu wa ramadhani sasa bendi ya kitanzania inayotikisa TWANGA PEPETA INTERNATIOL a.k.a SUGU wanafungukia pande za Mango Garden kwa show moja ya hatari huku safu ya ushambuliaje ikiwa inaongozwa na wakali kibao wa kuimba na kucheza pia.  TWANGA PEPETA inaundwa na wakali kama DOGO RAMA a.k.a vualla au chezea dogo,CHALZ...

Sunday, August 28, 2011

JE WAIJUA ILIPOTEKEA Q BAND? NI BAND YENYE WASANII LUKUKI NA WENYE VIPAJI VYA HALI YA JUU

                                                      LET'S GO AFRICA the q band imeanzishwa miaka mitatu iliyopita...

Saturday, August 27, 2011

KAA TAYARI KWA PABLO MASAI a.k.a Mr.WATER

msanii nguli wa bendi ya fm academia Pablo masai mashabiki wamempa jina la water yaani maji usipoyanywa utayaoga kama si ivo basi utaosha tu yupo studioni akirekodi album yake ambayo itaitia sokoni ikiwa ni solo project, kwa mijibu wa pablo masai tayari amekwisha tayarisha nyimbo tatu za albuma hiyo huku moja tayari ikiwa inakimbiza katika vituo vya redio. Wimbo ambao kashautia katika vituo vya radio na sasa akiwa mbioni kutengeneza video yake unaitwa...

kilometa 10000 ya dogo rama kiraka wa twanga pepeta international ishaiva punde tu sokoni!

msanii dogo rama a.k.a vualla. a.k.a kiraka toka twanga pepeta internataional amakamilisha albam yake yenye nyimbo sita ambazo amewashirikisha wasanii mbali kutoka band mbalimbali za muziki wa dance akiwemo rogert hegga(catapila)a.k.a kilimanjaro tanzania toka extra bongo wazee wakizigo mtu kama erick cantona aka mgogo wa mazizini toka diamond musica,mwanadada mkongwe na vocalist...

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...