WELCOME TO GMBONGO BLOG

To keep the body in good health is a duty... otherwise we shall not be able to keep our mind strong and clear.

TANGAZA NASI SASA

Tuwasiliane kwa Email: gmbongo.chuma@gmail.com

WE ARE HERE TO SERVE YOU

Keep you Entertained always

WE ARE HERE TO SERVE YOU

Habari na Burudani

WELCOME TO GMBONGO WORLD

Kwa habari za Burudani na zenye uhakika.

WAY

Friday, October 28, 2011

FATILIA PICHA ZA SHOW YA FM ACADEMIA KUSINI MWA TANZANIA -NDANI YA MTWARA

HIVI NDIVYO WAZEE WA NGWASUMA WALIPOFANYA BALAA LAO PALE MASASI NDANI YA BR NIGHT CLUB.                                 PATCHO MWAMBA TAJIRI AKIFANYA VITU VYAKE!    MULE MULE FBI AKIKONGA MASHABIKI                   ...

Tuesday, October 25, 2011

BABA NA MAMA YA DOGO RAMA SASA KIDEONI

  Video ya wimbo wa BABA NA MAMA wa dogo rama msanii wa tegemezi wa twanga pepeta sasa umekwisha kamilika hii ikiwa ni nyimbo ya 3 kufanyiwa kutoka katika album ya DOGO RAMA iliyopewa jina la KILIOMETA 10000 nyingine zikiwa ni CHUKI ZA NINI,IMANI YA MAPENZI,KILOMETA ELFU 10000 na sasa imekamilia ya BABA NA MAMA ambapo nyimbo hiyo amemshirikisha mwanana dada nguli wa miondoko...

Sunday, October 16, 2011

UNALIJUA JEMBE LA EXTRA BONGO KWENYE DRUMS?

                         MARTIN KIBOSHO Kiumri ni kijana mdogo sana lakini ana jina kubwa na ana mambo makubwa sana katika muziki wa dansi tanzania baada yakusimama na band nyingi sana ncchini tanzania. Alizaliwa mnamo mwaka 1985 huko mkoani kilimanjaro akiwa...

Saturday, October 15, 2011

MJUE SHARO BARO ANAETIKISA NDANI YA EXTRA BONGO-RAMA PENTAGONE

              RAMA PENTAGONE  alizaliwa mnamo mwaka 1979 ambapo alizaliwa na kusomea elimu yake hadi kidato cha nne katika jiji la mwanza  Rasmi alianza kujiingiza katika tasnia ya muziki mnamo miaka ya 2000 akianzia katika band ya magereza  MAGEREZA BAND kipindi hicho wanapiga bwaloni magereza mwaka...

Saturday, October 8, 2011

HUYU NDIE BINGWA WA BREAK DACE,MAYENU AFRICA MASHARIKI AMASHARIKI ANEIONGOZA SAFU YA SHOW YA WANA EXTRA BONGO NEIONGOZA SAFU YA SHOW YA WANA EXTRA BONGO

                                              SUPER NYAMWELA   Alizaliwa mnamo mwaka 1977 katika mkoa wa Ruvuma wilaya ya Tunduru alisona na kumalizia elimu yake ya msingi akiwa huko   Rasmi alijiingiza katika...

Monday, October 3, 2011

Je unamfahamu ROGERT HEGGA a.k.a CARTAPILA a.k.a KILIMANJARO TANZANIA?

                       HUKU NDIKO ALIKOTEKA  ROGERT HEGGA (CATAPILA) ROGERT HEGGA alizaliwa katika miaka ya 1973 jijini Dar-es-salaam na kusoma shule ya msingi na kumaliza na hatimaye alijunga na chuo cha ufundi Dar-salaam DAR TECH    Rasmi rogert alijiinga...

Saturday, October 1, 2011

MJUE FUNDI SELEMARA,MPIGA DEBE,MTAALAM WA NGOMA ZA DAKU NA MCHIRIKU SASA NI LULU KATIKA MUZIKI WA DANSI!

   LE GENERAL BANZA STONE a.k.a MWALIMU     Alizaliwa mnamo mwaka 1972 Rasmia le general BANZA STONE alianza muziki yeye anauitwa wa ukweli mnamo mwanzoni mwa miaka ya 90 ambako alikuwa akisomea muziki katika chuo cha cha sanaa KOREA CULTURAL MUSIC CENTRE na wakati huo pia alikua akishughlika na uchezaji show nikiwa na maana dansi kama...

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...