WAY

Saturday, October 8, 2011

HUYU NDIE BINGWA WA BREAK DACE,MAYENU AFRICA MASHARIKI AMASHARIKI ANEIONGOZA SAFU YA SHOW YA WANA EXTRA BONGO NEIONGOZA SAFU YA SHOW YA WANA EXTRA BONGO

                                              SUPER NYAMWELA
  Alizaliwa mnamo mwaka 1977 katika mkoa wa Ruvuma wilaya ya Tunduru alisona na kumalizia elimu yake ya msingi akiwa huko
  Rasmi alijiingiza katika fani ya muziki mwanzoni mwa miaka ya 1990 akiwa kama mcheza show katika kumbi mbali mblai za burudani huko na hatimaye baadae kuhamia katika jiji la Dar-es-salaam huku akiendeleza kipaji alichokua nacho acha kucheza miziki tofauti tifauti kipindi hicho ikijulikana kama bingwa wa kucheza disco lakini ikiukweli ilikua ni breakdance
 Mwaka 1995 aliweza kuchukua ubingwa wa breakdance kwa mkoa wa Dar-es-salaam kipindi hicho akishindana na kina MAREHEM BLACK MOSES,KING JOBISO,na wengine wengi akini super nyamwela hakuishia hapo
   SUPER NYAMWELA MWENYE NYEKUNDU AKIWA MZIGONI
Mwaka 1996 aliibuka tena bingwa wa mikoa miwili ya dar na moro katika shindano lililopewa jina la nani zaidi ambapo hapao aliwaangusha wakali toka morogoro na dar vile na yeye kuiuka kidedea
Mtaalam Super nyamwela haukishia hapo kuibuka kidedea mwaka 1997 aliibuka bingwa wa taifa wa mashindano ya breakdance hapo nikimaanisha bingwa wa Tanzania nzima katika mashindano ya kucheza kipindi hicho akiwabwaga wakali wa kipindi hicho kina marehemu BLACK MOSES,ATHMAN DIGADIGA,KING JOBISO,marehem MAX PRINCE lakin  mwishoni mwa mwaka 1997 aliweza kuibuka kudedea na kuwa  bingwa wa AFRICA MASHARIKI akiwabwaga wakali toka nchi za KENYA,UGANDA,
 Mwaka 1998 aliweza kupata shavu la kuzunguka na mwanamuziki nguli AWAILO LONGOMBA katika baadhi ya mikoa Tanzania na alifanikiwa kurekodi video na AWILO katika nyimbo ya GET LA COUN
 Mwaka huo huo wa 1998 aliweza kupata shavu lingine la kuzungukana aliekua nguli wa muziki wa rhumba kutoka kundi la TP OK JAZZ iliyokua ikiongozwa na gwiji la muzki FRANCO LUAMBO MIKIADI nae si mwingine ni MADILU SYSTEM ambaye aliweza kupiga nae tour katika nchi za KENYA,UGANDA NA TANZANIA na baada ya kumaliza tour hiyo alirejea tena bongo na kuunda kundi lililotikisa la break dance lililotikisa mwishoni mwa miaka ya tisini la BILL BAMS lililokua lilikua na mskani yake pale CLUB BILCANAS

                                   SUPER NYAMWELA
Mwaka 2000 aliweza kujiunga rasmi ma kundi la AFRICA STARS kipindi hicho na kwa sasa wanajulikakana kama TWANGA PEPETA SUGU KISIMA CHA BURUDANI mwaka huo akijiunga na madancer kina super danger,danger boy,dogodogo rashidi,bokilo,edy boy,aisha madinda,lilian internet,khadija.pendo bonzo,mwantumu
 hapo super nyamwela aliweza kusimamia show za albu zote kumi za twanga kuanzia
KISA CHA MPEMBA,JIRANI,CHUKI BINAFSI,UKUBWA JIWE,MTU PESA,SAFARI 2005 Na nyingine zilizofatia
     SUPER NYWAMWELA WA PILI TOKA KULIA AKIWA NA WANA WA TWANGA PEPETA
          SUPER  NYAMWELA WA MBELE AKIWA NA WANA EXTRA BONGO
Lakini mwaka 2006 alijiingiza katika tasnia yakuimba huku akiendelea kucheza lakini na uimbaji wake ukaangukia katika nyimbo za kiafrica zaidi na ndipo alipofanikiwa kutoka album yake ya kwanza ya MASTER ON THE TEMPLE ambapo aliwashirikisha watu kama BADI BAKULE,LUZA MBUTU,MSAFIR DIOF,PAPII KOCHA,NA RASHID MWENZINGO  baada ya miaka minne tena yaani mwaka 2010 alifanikiwa kutoa album yake nyingine aliyoiita AFRICA KILOMONDO na ndio nyimbo inayotikisa kwa sasa katika muziki wa kiafirica ikiwa na nyimbo za WATOTO YATIMA.UTAMADUNI WETU,BABA NA MAMA,MSUMARI WA MOTO,AFRICA KILOMONDO,MAMA MWENYE NYUMBA,LISA,AMANI AFRICA huku ndani akiwa amwewashirikisha wanamuziki tofauti akiwemo Ally Choki,Richard Maarifa,juma nature,bob rudala,modester nyoni,

 SUPER NYAMWELA AKIWA MZIGONI KWA KUGHANI AKIWA EXTRA BONGO


     SUPER NYAMWELA MIUKA IMEMPANDA KAZINI.
     HUYO NI MKONGWE ANAETIKISA KWENYE KATIKA ANGA LA MUZIKI WA KIAFRICA.........................................................................................................................


0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...