Wenyewe wanasema sio kuivunja twanga pepeta bali kukiimarisha kikosi cha katika kuwapa burudani mashabiki wake hiyo ndio kauli ya msemaji wa MASHUJAA BAND baada ya kumuuliza kwanini ni twanga pepeta na hayo yamekuja baada ya kumng'oa nguli wa tumba ndani ya twanga MCD na kutua katika band hiyo huku akiwa ni msanii wa tatu kutoka twanga na kutua MASHUJAAA wa kwanza akiwa ni...
Monday, April 23, 2012
Tuesday, April 17, 2012
WAKATI KALIDJO MWANA KITOKOLOLO KUKU WA FM ACADEMIA AKISHANGALIA KUPATA TUZO YA RAPER BORA WA MUZIKI WA DANSI MARAPA WA KUTOKA BAND ZINGINE WAKATAA KATAKATA

Niliongea na rapa kiongozi wa mashujaa musica ibra mirinda amepokeaje ushindi wa kitokororo kuku wa fm academia kwa kupokea tuzo ya rapa bora wa musiki wa dansi alichokisema ibra mirinda kua yeye hajashindana na kalijo kwa hiyo kivovyote vile kalijo hamuwezi hata kidogo na anashangaa mchakato wenyewe wa kuwapata washiriki hajui hata unaendaje anasema angekubali tu endapo...
Friday, April 6, 2012
DOGO RAMA AIINGIZA SOKONI ALBUM YAKE NA AIUZA KWA STYLE YA AINA YAKE NI KWA MTANDAO WA SIMU UNAJUA INAKUJAE? PIGA NUMBER 0715370365 AU 0659 158334 KWELI ATAWAWEZA MAHARAMIA!?

Msanii na mkali wa sauti kutoka twanga pepeta dogo rama a.k.a VUALLA ameachia album yake ya kilometa 10000 sokoni ikiwa kaja na style ya kuuza kazi yake kiaina yake ikiwa amtoa number za simu kwa atakaetaka album yake hiyo iliyosheheni nyimbo kali za rhumba tofauti na ilivyo katika album ya band yake ya twanga
album ya kilometa yenye nyimbo kama MAMA NA BABA,SIRI YA...
Thursday, April 5, 2012
LICHA YA ALLY CHOKI KUKIRI KUONDOKA KWA FURGASON.. RAPA HUYO ASEMA YEYE NI MWANAMUZIKI HALALI WA EXTRA BONGO HUKU VIONGOZI WA MASHUJAA WANAJIKANGANYA MENEJA ANASEMA HAWAJAMCHKUA RAIS WA BAND ANASEMA WAMEMCHUKUA KAZI HIYO!

Licha ya mkurugenzi wa EXTRA BONGO le KAMARADE ALLY CHOKI kukiri kuwa mwanamuziki furguson si wa kwake tena lakini mwanamuziki huyo azidi kung'ang'ana kuwa bado ni mwanamuziki halali wa band hiyo kwa kuwa bado ana mkataba wa mpka mwezi wa kumi na mbili kwa hiyo uvumi wa kuwa anahamia mashuja ni uvumi mtupu na ameshanga kwanini mkurugenzi wake huyo amekana kuwa si mwanamuziki...
Wednesday, April 4, 2012
ALLY CHOKI AKIRI KUONDOKA KWA RAPA WAKE FURGUSON KUTIMKIA MASHUJAA LAKINI UONGOZI WA MASHUJAA UMEKANA KUMCHUKUA FURGUSON JE UNAJUA ALIPO FURGASON! a.k.a MASKINI JEURI a.k.a DUME LA MBEGU!? KWELI ANAWEZA KURUDI TWANGAAAAA!?

Raper anaeumiza vichwa vya maband nchini furguson inasemekana amejitoa extra bongo na kujiunga na mashujaa musica band ambayo inakuja kwa kasi sana katika tasnia ya muziki wa dansi inayoongozwa na nguli wa muziki wa dansi presdaa CHALZ BABA lakini meneja wa MASHUJAA BAND anaejulikana kwa jina la MAX LUHANGA amekataa kataka kuwa rapa huyo katua katika band yake.
...
.

