WELCOME TO GMBONGO BLOG

To keep the body in good health is a duty... otherwise we shall not be able to keep our mind strong and clear.

WAY

Tuesday, March 25, 2014

JE WAJUA MITIHANI ALIYOPITA DOGO RAMA KATIKA MUZIKI JE WAJUA ASHAWAHI KUWA ANAPANDA JUKWAANI AKIMBA SAUTI HAITOKI NA MARA NYINGINE HATA KUKOHOA DAMU HIYO WAKATI AMEINGIA TU TWANGA PEPETA JE WAJUA ALIKUWA MPIGA DEBE NA MCHOMA CHIPS JIJINI MWANZA KUPITA BLOG HII AMEFUNGUKA

Dogo rama mwanamuziki anaesimama vizuri kwa sasa ndani ya twanga pepeta katika safu ya uimbaji akishirikiana kwa ukaribu na kina kalala junior, luiza mbutu,badi bakule na wengineo anasema katika changamoto ambazo hawezi kuzisahau maishani mwake ni pamoja kuamini alikuwa anarogwa pindi tu alipifika twanga pepeta huku akiwashukuru kina Marehemu MCD,ABUU SEMHANDO lakini pia...

Monday, March 24, 2014

JONIKO FLOWER ASEMA WATU WASIFIKIRI KARUDI CHUCHU SOUND YEYE ALIWEZA KUFANYA SIKU MOJA KWA AJILI YA KUMBUKUMBU ILA HAWEZI KUPIGA TENA NAO KWA SIKU ZOTE ASEMA KITU AMBACHO HAKISAHAU KATIKA MAISHA YAKE NI WAKATI CHUCHU SOUND INAKUFA WALIWEZA KUPIGA VYOMBO VYA MZIKI KICHWANI TOKA MANZESE MPAKA MWANANYAMALA NI KITU ASICHOKISAHAU KATIKA MAISHA YAKE YA MUZIKI

Joniko flower ambae kwa sasa anaimbia band ya skylight band asema watu wasifikiri ataendelea kupiga na chuchu sound ila alifanya vile kwa kuwa kuwa ulikuwa ni  mkataba wa show ya siku moja ya kumbukumbu ya ya wenzao waliopoteza masiha kipindi hicho lakini pia kukumbuka kule walikota na chuchu sound kwa kuwa ni band iliyotengeza historia katika maisha yake, Joniko...

Wednesday, March 19, 2014

MSANII WA FILAMU KUTOKA KENYA ANAEFANYA SHUGHULI ZAKE NCHINI UJERUMANI AKANA KUWA DEMU WA WASANII NA AKANUSHA MADAI YA KUTAKA KUIVUNJA NDOA YA BOB JOUNIOUR ASEMA WASANII WA AAFRIKA MASHARIKI YEYE NDIO HUWA ANAWAPA SAPPORT WAFIKAPO UJERUMANI

Msanii naekuja juu katika tasnia ya filamu afrika mashariki ambae anafanya shughuli zake ujerumani ASHLEY TOTOO amefunguka kuhusiana na skendo yake inayomkabili kuwa ni demu wa wasanii wa kutoka afrika mashariki ambao huwa wanaenda kufanya show nchini ujerumani na kusema kuwa yeye kule huwa anakua kama mwenyeji wao wa kuweza kuwatembeza sehemu mbalimbali ni marafiki wakawaida...

Tuesday, March 11, 2014

BAADA YA KUIWEKA PEMBENI SUPER STARS BAND NA KUTUA KWA WANAJESHI WA RUVU STARS BAND WATAKA KURUDISHA ENZI ZA MABAND YA SERIKALI LAKINI NA USHINDANI KAMA ILIVYOKUWA ZAMANI MAGEREZA,POLIS JAZZ BAND KIMALUMALI NA NYINGINE WAACHIA TATU KWA MPIGO NI BAND INAYOUNDWA NA WANAMUZIKI WAZOEFU WA DANSI TANZANIA AKIWEMO ROGERT HEGGE CARTAPILA JE WATAWEZAA???

Band inayoundwa na wakongwe kama Rogert hegga( cartapila kilimanjaro),Amigolas,muhina panduka(toto tundu)khadija mnoga(kimobitel)waziwa kalala,jojoo jummane toka twanga pepeta,sele momba toka twanga pepeta,champion aliekuwa mpiga drums wa malaika band,victor mkambi(profesional keyboard)ambapo kati yao walikuwa wanaunda super star band ambayo ilianza kazi kadhaa lakini bila...

Tuesday, March 4, 2014

DEKULA KAHANGA 'VUMBI' APANIA KURUDISHA LADHA ZA MUZIKI WA DANSI ZILIZOPOTEA KATIKA KIZAZI KIPYA YUKO MBIONI KUACHIA ALBUM YAKE YA THE BEST OF DEKULA,ASEMA MEDIA NDIO ZILIKUZA MUZIKI WA TANZANIA NA NDIO ZINAZOKANDAMIZA MUZIKI HUO KWA SASA

Mwanamuziki wa siku nyingi ambae aliondoka nchini miaka ya 90 akitokea band ya Mrquis original baada ya kutoka congo na kuweza kufanya kazi kwa muda mchache na band waliyoianzisha ya CHAMWINO JAZZ na ndipo alipovutika na mariquis na kwenda kuomba kazi na kupokelewa na mfalme NGUZA MBANGU VIKING ambapo aliweza kufanya kazi kwa mafanikio ya hali ya juu huku akiacha kumbukumbu...

Monday, March 3, 2014

MJUE TABU MAMBO SASA MCHEZA SHOW WA ENZI HIZO ALIEGEUKIA MIC NA KUWA MKALI WA MASAUTI SASA ANAPIGA NA BAND YA HOTELI LAKINI ASEMA YUKO MBIONI KUACHIA NYIMBO ZAKE MWENYEWE ASEMA MZIKI WA DANSI UNARUDI KWA KASI

TABU MAMBOSASA si jina geni katika ulimwengu wa muziki wa dansi kam mfatiliaji ila kwa wale ambao inawezekana hawafahamu kabisa TABU ni mcheza show wa zamani(DANCER) mwanzoni mwa kiaka ya 90 hadi mwishoni mwa miaka ya 2000 ambapo alipitia kama dancer katika band nyingi ikiwemo BANTU GROUP iliyokuwa ikiongoza na komando hamza kalala lakini pia Marqus orchestre ya lakini hata...

Saturday, March 1, 2014

Interview That Kid Bill meets #Christine Michelle from #Merita movement!! Christine Michelle is a 28 year old philanthropist, hairdresser, sound, art and style enthusiast. Impartial to academia, she spent the greater part of her youth creating and experimenting with art, crafts and textiles. Many blessed opportunities to travel internationally imbedded the travel bug deep in her soul which eventually landed Christine in the “heart of Africa” a city called Goma on the East border of Democratic Republic of Congo. Since time, she has spent an accumulated 19 months on the ground and several years moving back and forth between Vancouver and DRC. Christine’s second visit to the continent of Africa was one in which forever changed her life and as a result, her creative interests (plus a love of scissors and sewing machines) provided her the opportunity to develop a program called Healing Arts. A fixed class room at the hospital in Goma as well as rural community outreach spaces where women who have experienced sexual violence come together joyfully and learn a variety of skills and trades to create opportunities and income for themselves while they are within their healing process. Promoting community and individual growth through holistic development or an ‘appreciative inquiry approach’. The link to the four minute video of our conversation done at the #BavubukaHeadQuartersDynasty

...

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...