Mwanamuziki wa siku nyingi ambae aliondoka nchini miaka ya 90 akitokea band ya Mrquis original baada ya kutoka congo na kuweza kufanya kazi kwa muda mchache na band waliyoianzisha ya CHAMWINO JAZZ na ndipo alipovutika na mariquis na kwenda kuomba kazi na kupokelewa na mfalme NGUZA MBANGU VIKING ambapo aliweza kufanya kazi kwa mafanikio ya hali ya juu huku akiacha kumbukumbu ya wimbo mkali kama NGALLULA na ndipo alipopata deal la kwenda kurekodi nchini uingereza lakini mwisho wa siku akweza kuangukia katika nchi ya sweeden ambapo awali walianzisha band iliyoitwa MAKONDE BAND ambayo waliweza kufanya nayo sehemu tofauti ikiwemo uganda lakini baadae aliweza kujitoa na kuweza kuanzisha band yake mwenyewe ambayo ameipa jina la dekula band ingawa wa afrika mashariki wengi waishio sweeden wanapenda kukuita kwa mzee VUMBI,katika kile alichosema kuwa muziki wa tanzania kuna ladha imepotea ikiwemo ya upigaji wa tarumbeta na kusema sasa anataka kutoa album ambayo itakua na ladha zote zilizokuwa zinapigwa katika muziki wa dansi wa nezihizo tanzania,
AIDHA dekula amezitumia lawama baadhi ya media kwa kuweza kuua muziki wa dansi wakati kipindi hca nyumba walikuwa wanasapport sana kwa nguvu hivyo ameomba media ziweze kurudisha airtime za muziki wa dansi kama ilivyokuwa zamani, na kusema kwa kufanya hivyo na wanamuziki wa sasa wakiwa wabunifu basi muziki wadansi utakua kazi tosha na kurudi katika kiwango cha zamani ambapo zamani hadi nchi za kenya na uganda dansi ya swahili ilikuwa inatamba
Tuesday, March 4, 2014
Home »
» DEKULA KAHANGA 'VUMBI' APANIA KURUDISHA LADHA ZA MUZIKI WA DANSI ZILIZOPOTEA KATIKA KIZAZI KIPYA YUKO MBIONI KUACHIA ALBUM YAKE YA THE BEST OF DEKULA,ASEMA MEDIA NDIO ZILIKUZA MUZIKI WA TANZANIA NA NDIO ZINAZOKANDAMIZA MUZIKI HUO KWA SASA
0 comments:
Post a Comment