
Katika mlipuko na mfumukoa wa ukuaji wa muziki wa dansi na ushindani uliopo katika band tofauti tofauti nchini tanzania sasa EXTRA BONGO a.k.a WAZEE WA KIZIGO wameongeza mashabulizi kwa kuongeza wamamuziki kadhaa katika safu ya uimbaji akiwamo muimbaji kutoka T.O.T MZUKA MWANZO MWISHO inayosemekana sasa ni chali mkali REDO KIMAUZO atua rasmi kujiunga na band hiyo kisha vile...