
Mwanamuziki anaetikisa sasa katika ulimwengu wa music wa dansi tanzania CHALZ BABA a.k.a KINGUNGE a.k.a TORRES ameukwaa urais wa mashujaa music band katika uchaguzi uliofanyika siku ya jana katika ukumbi wa mashujaa pub uchaguzi ambao uliwahusisha wanamuziki katika upigaji kura huku uchaguzi huo ukisimamiwa na wadau wawili pamoja na mnenguaji sweet baby.chalz alipata kura...