WELCOME TO GMBONGO BLOG

To keep the body in good health is a duty... otherwise we shall not be able to keep our mind strong and clear.

WAY

Monday, December 31, 2012

EXECUTIVE MASSAGE CENTRE MOJA KATI YA MASSAGE CENTER ZA KISASA NDANI YA MTWARA INAYOENDESHWA NA WATAALAMU WA MASSAGE KAMA INAVOJULIKANA MASSAGE NI MOJA YA DAWA NZURI TU KWA MWILI WA MWANADAMU KWA KUIFANYA MTWARA YA KISASA ZAIDI KARIBU NDANI YA EMC

                         MOJA KATI YA VYUMBA VYA KUFANYIA MASSAGE(EMC)                                 ...

Monday, December 17, 2012

MUUMINI MWINJUMA KUITAMBULISHA RASMI VICTORIA SOUND LEO NDANI YA MTWARA ACHUKUA WANAMUZIKI TOKA,FM ACADEMIA,MASHUJAA,TWANGA,MAPACHA NA WENGINE CHIPUKIZIAMEANZA MAZOEZI LEO.

MWANAMUZIKI nguli wa muziki wa dansi ambae alishwahi kutamba na band mbali mbali za tanzania, ambapo zingine aliweza kuzimiliki yeye mwenyewe na baadae kutua twanga pepeta ambapo ndipo alipotokea sasa ametua rasmi ndani ya mtwara kwa ajili ya kuweka kambi ya  kujiandaa namahsambulizi ya kuliteka jiji tena kama alivyofanya kipindi cha double m na band zingine,ambapo amesema...

Friday, December 14, 2012

BAADA YA SHOW YAO YA KESHO YA KUSINDIKIZA KOFFI OLOMIDE TWANGA PEPETA WAMEANDAA BONANZA KUBWA LITAKALOITWA FAMILY DAY BONANZA YA TWANGA TAREHE 30-12-2012.

KATIKA Family Bonanza zote zilizowahi kufanywa na Twanga Pepeta, basi hili linalotarajiwa kufanyika Jumapili ya mwisho kabisa kwa mwaka huu, litakuwa halina mpinzani. Tarehe 30 mwezi huu, bendi hiyo imeandaa onyesho kubwa la kifamilia ndani ya Viwanja vya Leaders Club, Kinondoni jijini Dar es Salaam, likiwa ni maalum kwa ajili ya kuuaga mwaka 2012, ambapo...

Thursday, December 13, 2012

KUELEKEA SHOW YA KOFFI ZENGWE LAIBUKA ALAIN MULUMBA ASHTUSHWA KUSIKIA KUNA DIAMOND MUSICA ORIGINAL ITAKAYOSINDIKIZA SHOW YA KOFFI OLOMIDE ASEMA YEYE HANA TAARIFA YOYOTE KUHUSIANA NA BAND HIYO ILA DIAMOND MUSICA BADO IPO,LAKINI SIO AMBAYO ITASINDIKIZA SHOW HIYO

                                                       ALAIN MULUMBA KASHAMA Ikiwa ni bado siku kadhaa...

Wednesday, December 12, 2012

MUUMINI MWINJUMA KUIVUNJA TWANGA NA MASHUJAA MUSICA AMCHUKUA MPIGA SOLO ANAETEGEMEWA KWA SASA TWANGA SELE MOMBA NA MPIGA BASS PEKEE WA MASHUJAA KASSIM BASS KUMRUDISHA KATIKA GAME WAZIRI SONYO KATIKA KUIMARISHA SAFU YA UIMBAJI VICTORIA SOUND KUWEKA KAMBI MTWARA

PRINCE MUUMINI MWINJUMA ambae pia ni rais mpya wa band ya VICTORIA BAND ambae kwa sasa amesema yuko kwenye makakati wa kusajili wanamuziki wapya wa band yake hiyo ambayo amesema itakua tishio katika medani ya muziki wa dansi na kusema kwa sasa yuko kwenye mchakato wa kusajili waimbaji chipukizi lakini tayari ameshawachukuwa wanamuziki wawili kutoka band kubwa ambapo amemchukua...

IRENE UWOYA: AFUNGUKA NA KUSEMA KUWA KWA MWAKA 2012 HAJAFANIKIWA KABISA KATIKA MIPANGO YAKE KATIKA FILAMU

STAA wa filamu ambaye popote atakapopita shabiki lazima amshangae, Irene Uwoya, anasema kuwa mwaka 2012 unamalizika lakini asilimia kubwa ya mambo yake hayakutimia. Anasema ndoto zake kubwa katika tasnia ya filamu ambazo kwa asilimia fulani anaamini hajazikamilisha, atazikamilisha mapema mwakani. Kwa sasa kuna changamoto nyingi sana katika tasnia ya filamu...

Tuesday, December 11, 2012

KUELEKEA SHOW YA KOFII OLOMIDE ZENGWE LA ASHA BARAKA KUTOTAKA MAPACHA WASHIRIKI ONYESHO HILO AFUNGUKA NA KUWEZA WAZI KUWA YEYE SIO MUAANDAJI HAWEZI KUPANGA MASHARTI YA BAND ZA KUIMBA ASEMA WASIWASI WAO KHALID CHOKORAA ASEMA BAND KUBWA HAZIJIAMINI NA PERFOMANCE ZAO NDIO MAANA WANAWAOGOPA ASEMA WATAAFANYA SHOW AMBAYO HAIJAWAHI TOKEA

WAKATI tukuelekea katika show ya KOFF OLOMIDE jumamosi ijayo mengi yameibuka kuhusiana na show hiyo ambapo kuna habari za chinichini zilizokuwa zinaungumzwa kuwa twanga wanataka kujitoa kutokana na mapacha watatu kuwepo katika show hiyo kwa aidha watoke wao au mapacha zengwe hilo nimelifatilia pande zote mbili ambapo niliweza kuongea na  DADA ASHA BARAKA ambae na yyeye...

Sunday, December 9, 2012

FM ACADEMIA KUFANYA TAMASHA LA KUSHEHEREKEA MIAKA 15 KUZIALIKA BAND MBALIMBALI NA WANAMUZIKI WOTE WALIOWAHI KUPITIA FM ACADEMIA KUSHIRIKI KATIKA TAMASHA HILO ITAKUA NI SIKU MOJA KABLA YA KUPANDA JUKWAA MOJA NA KOFFI OLOMIDE

Band kongwe tanznia ya muziki wa dansi ambayo pia imejizolea mashabiki wengi kiasi cha kutosha wiki hii kufanya tamasha la kuadhimisha miaka 15 toka kuanzishwa kwa band hiyo ambapo  imepitia misukosuko mbali mbali moja wapo jela ambapo mapka wakaamua kujiita m academia wajelajela kabla ya kugawanyika na wengine kujiita wajelajela original na wengine wakijiita wajelajela...

Friday, December 7, 2012

BAND INAYOZIDI KUNG'ARA TANZANIA KWA SASA MAPACHA WATATU a.k.a WAKALI WA TOWN KUSIMAMA JUKWAA MOJA NA GWIJI WA MUZIKI AFRICA KOFFI CHALS ANTONIE OLOMIDE TAR-15 MWEZI HUU

MAPACHA WATATU 'WAKALI WA TOWN' WATAPANDA JUKWAAA MOJA NA MFALME WA MUZIKI WA MAYENU KUTOKA JAMHURI YA DEMOKRASIA YA KONGO, KOFII OLOMIDE, DESEMBA 15 KATIKA VIWANJA VYA LEADERS CLUB.                                                   ...

Thursday, December 6, 2012

MUUMINI MWINJUMA KUZIVUNJA BAND KUBWA TANZANIA KUIIMARISHA VICTORIA BAND,KUJICHIMBIA KUSINI KUANDAA MASHAMBULIZI TAYARI WIMBO KADHAA KWA AJILI YA YA MASHABIKI WAKE NA VICTORIA JE BAND GANI NA GANI KUBOMOLEWA NA MUUMINI!?

Baada ya kurejea kutoka kenya bila vipaji alivyoenda kuvitafuta muumini amesema kwa sasa ili kuweza kuinda band yake iwe bora kama zingine anafanya mpnago wa kuweza kuzibomoa baadhi za band kubwa tanzania ikiwemo TWANGA PEPETA,EXTRA BONGO na nyingine ambapo amesema tayari anayotimu kilichobaki ni kuwasainisha tu halafu aweze kuiingia nao kambini aidha iringa au mtwara ambapo...

Tuesday, December 4, 2012

SAJUKI NA WASTARA WAANDAA MATAMASHA KWA AJILI YA KUWASHUKURU WATANZANIA KWA DUA ZAO NA MICHANGO YAO,MWEZI WA KUMI NA MBILI HUU KUACHIA MOVIES YAO MPYA YA KIVULI LAKINI PIA SAJUKI ATOA ALBUM YA MUZIKI KWA AJILI YA WATANZANIA

WAkizungumza na mimi kwa njia ya simu leo huku sajuki akithibitisha kwa sasa ana afadhali sana kwani hata napoongea nae alikua akiendesha gari nguvu ambazo hata awali hakua nazo kabisa lakini kwa sasa kuna baadhi ya vitu anaweza kuvifanya kwa kuwa ananihisis anaelekea kupona kabisa hivyo basi kwa hali aliyoua nayo sajuki akishirikiana na mkewe wastara wameamua kuanzisha matamasha...

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...