...
Tuesday, November 26, 2013
Friday, November 22, 2013
WARAKA ULİOWAONDOA ZİTTO KABWE NA KİTİLA MKUMBO HUU HAPA MKAKATI WA MABADILIKO 2013 MTANDAO WA USHINDI SOMA HAPA KWA UMAKINI JE NI ZITTO AU NI VIONGOZI AMBAO WAKO SAHIHI?
Normal
0
false
false
false
EN-US
X-NONE
X-NONE
MicrosoftInternetExplorer4
...
SIKILIZA HOTUBA YA MWANASHERIA MKUU WA CHAMA CHA DEMOKRASIA MH TINDU LISSU AKIFUNGUKA KISA CHA KUWAVUA NYADHIFA ZITTO KABWE,DK KITILA NA MWENYEKITI WA ARUSHA NA KUSEMA KUWA WALIUNDA KUNDI LILITOKA KUFANYA MAPINDUZI NDANI YA CHAMA HICHO SIKILIZA WA MAKINI NA KISHA TOA MAONI YAKO KAMA UTAISIKILIZA
...
MAPACHA WATATU WAPANIA KULIZIMA JIJI LA DAR KWA KUWEKA HISTORIA KATIKA MUZIKI WA DANSI KATIKA KUSHEHEREKA MIAKA MINNE WAPANGA KUZINDUA VIDEO MOJA KUTOKA KATIKA ALBUM YA YARABI NAFSI WASEMA KWA WAO NI WAJASILIAMALI NDIO MAANA MAMBO MENGINE HAYAENDI KAMA WALIVYOPANGA WASEMA MCHAKATO WA KUMCHUKUA WAKUZIBA UKO PALE PALE MSIKILIZE MENEJA WA BAND HIYO KHAMIS DACOTA PAMOJA NA MKURUGENZI KHALIDI CHOKORAA WAKIZUNGUMZA
...
Tuesday, November 19, 2013
KALALA JUNIOUR APANGA KUIGEUKIA BONGO FLEVER KWENYE ALBUM YAKE BINAFSI MBIONI KUFANYA WIMBO NA OMMY DIMPOZ KATIKA UTANGULIZI WA ALBUM YAKE AKANA KUREJEA MAPACHA WATATU KWENYE BIRTHDAY YAO

Mwanamuziki mwenye vipaji vingi katika muziki lakini pia akiwa ni mchezaji mzuri wa mpira wa kikapu mtoto wa nyoka aliegeuka chatu kalala juniour ambae ambae ameshwahi kutamba na band mbalimbali nchini lakni kwa sasa akiwa anatikisa na band ya twanga pepeta Intertnational huku akitamba na wimbo uliobeba jina la album ya band hiyo NYUMBANI NI NYUMBANI
KALALA amesema...
Thursday, November 14, 2013
NEY WA MITEGO AFUNGUKA KUHUSIANA NA WIMBO WAKE MPYA NAKULA UJANA JE UNAJUA KAWACHANA KINA NANI HUMO ASEMA HUWA HAMUOGOPI MTU ANAPOANDIKA MISTARI YAKE

MSANII mwenye hits inayotikisa kwa sasa kwenye game ya bongo flever ya SALAM ZAO ambapo ndani yake amefanya kuwataja watu waliohusika kwa njia moja ama nyingine katika matukio tofauti ya kisanii
ingawa watu wameidiss sana video ya wimbo huo na kusema haijaenda na uhalisia lakini yeye anasema watanzania wasiwe na video zao vichwani video za sasa zipo kisanii zaidi.
akifunguka...
JESHI LA POLISI LINAWASHIKILIA WATU KUMI KUHUSIKA NA MAUAJI YA MWANAHARAKATI NA MWANASHERIA DK. SENGODO MVUNGU AKIRI KUHUSIKA NA TUKIO HILO
Jeshi la polisi
kanda maalumu ya dar-es-salaam linamshikilia mtuhumiwa mmoja John Ikodia kwa
kosa la kushiriki kikamilifu kwenye mauaji ya mwanasheria dk sengodo mvungi.
Akizungumza na
waandishi wa habari kamanda wa kanda maalum dar-es-sallm Suleiman Kova amesema
walipata taarifa kutoka kwa raia wema kwamba alishiriki kikamilifu katika tukio
lilisababisha kifo cha dk mvungi.
Kamanda kova amesema
baada ya kumhoji mtuhumiwa alikiri moja kwa moja...
Wednesday, November 13, 2013
BABA LA MABABA a.k.a BABA LEVEL ATOA NGOMA KUTAMBULISHA JINA LAKE HILO JIPYA LAKINI PIA CHINI YA MH ZITTO KABWE WAKO MBIONI KUFANYA TOUR AFRIKA MASHARIKI WANA KIGOMA ALL STARS

BABA LEVEL ndio jina alilokua anajuliakana sana na mashabiki wake toka aingie kwenye game akitokea kigoma na kundi lake ambalo baadae lilivunjika na kujiunga na wanaume halisi na kisha kutoka na kuunda kigoma all star kwa sasa anajiita baba la mababa amefunguka na kuachaia ngoma ambayo anasema itakua ni utambulisho wa jina lake jipya la BABA LA MABABA jina ambalo limetokana...
ALLAN KISO MUNDELE MPIGA GITA MAARUFU TANZANIA ANAETAMBA NA BAND YA SKYLIGHT APANIA KUFANYA KAZI KIMATAIFA ZAIDI KWA KUTENGENEZA NYIMBO ZAKE MWENYEWE SASA ATAMBA NA KARUBANDI ASEMA GITA LINAMUENDESHEA MAISHA VIZURI
KISO MUNDELE sio jina geni katika tasnia ya muziki wa dansi nchini sasa apania kufanya maajabu kwa kuweza kufanya kazi zake kimataifa zaidia kwa kupiga muziki wa kimataifa, asema licha ya kuweza kuisidia band yake ya skylight band ambayo kwa sasa ni gumzo la jiji kwa sasa huku wakiwa wamekwisha anza kupata tour tofauti tofauti na hvi karibu wakitarajiwa kuanza ziara jijini mwanza.
KISOMUNDELE ndie aliweza kucompse wimbo ulioweza kutamba sana miaka...
MWENYEKITI WA NCCR MAGEUZI ATOA RATIBA YA MAZISHI YA DK SENGODO MVUNGI JESHI LA POLISI LASEMA LINAWASHIKILIA WATU TISA KUHUSIANA NA TUKIO HILO
Mkurugenzi wa Katiba, Sheria
na Haki za Binadamu wa NCCR-Mageuzi, Dk Sengodo Mvungi amefariki dunia jana
alasiri nchini Afrika Kusini alipokuwa akipatiwa matibabu.
Taarifa za kifo chake
zimethibitishwa na Mwenyekiti Taifa wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia.
Akizungumuza na safari radio
leo asubuhi Mbatia amesema taratibu za mazishi zimekwishapangwa ambapo mwili wa
marehemu utawasili nchini siku ya ijumaa ya tar 15 na kusomewa ibada tar 16
katika kanisa...
Monday, November 11, 2013
BANANA ASEMA MASHABIKI WA MZIKI WA RHUMBA BADO WAPO WENGI ILA WAIMBAJI WANAWAANGUSHA KWA SABABU YA KUKOSA UBUNIFU NA KUBWETEKA KATIKA MABAND ASEMA BAND NYINGI ZINAPIGA MITINDO YA KUIGANA KIASI CHA KWAMBA MPKA MEDIA ZINASHINDWA KUSAPORT APANIA KURUDISHA RHUMBA LAKINI PIA KUTAFUTA MUZIKI WA ASILI WA BONGO AMBAO MPAKA SASA HAWAELEWI WANAPIGA AINA GANI YA MUZIKI NA KUBAKI KUDANDIA MIZIKI YA NCHI ZINGINE
...
Friday, November 8, 2013
KHEIRAT MANET MTOTO WA NGULI WA MUZIKI WA JAZZ MAREHEM HEMED MANETI ALIEAMUA KUINGIA KATIKA MUZIKI WA DANSI NA KUIRUDISHA VIJANA JAZZ KWA AJILI YA KUMUENZI BABA YAKE ANAAMINI WATOTO WENGI WA WANAMUZIKI WANARITHI VIPAJI VYA WAZAZI WAO AHADI MENGI NDANI YA VIJANA JAZZ WANA SAGA RHUMBA MSIKILIZE HAPA AKIELEZEA ZAIDI KUHUSIANA NA YEYE KUINGIA KWENYE MUZIKI
...
Thursday, November 7, 2013
MAPACHA WATATU WASEMA WAMEMCHUKUA MSANII MWENYE ULEMEVU WA MACHO TOKA KUSINI AMBAE ANA KIPAJI KIKUBWA CHA KUIMBA MIZIKI YA AINA YOTE WAKUZIBA INTERNATIONAL ASEMA WAMESHAMUANDALIA NYIMBA NA KILA KITU LAKINI MWENYEWE WAKUZIBA ASEMA HAJAWASILIANA NA MTU YOYOTE WA WATATU NA WALA WASITEGEMEE KAMA WATAMCHUKUA KAMA BOGA TU LAZIMA WAFATE TARATIBU NA SIO KUTANGAZA TU WAKATI HAWAJAFANYA MAZUNGUMZO YOYOTE ASEMA YUKO TAYARI KWENDA KAMA WATATOA HELA YA KUTOSHA KWA KUWA MTU HAKATAI HELA HEBU SIKILIZA HAPA KHALID CHOKORAA AKITHIBITISHA KUSAJILIWA KWA WAKUZIBA NA PIA UTAMSIKIZA WAKUZIBA
...
.

