WAY

Wednesday, November 13, 2013

ALLAN KISO MUNDELE MPIGA GITA MAARUFU TANZANIA ANAETAMBA NA BAND YA SKYLIGHT APANIA KUFANYA KAZI KIMATAIFA ZAIDI KWA KUTENGENEZA NYIMBO ZAKE MWENYEWE SASA ATAMBA NA KARUBANDI ASEMA GITA LINAMUENDESHEA MAISHA VIZURI

KISO MUNDELE sio jina geni katika tasnia ya muziki wa dansi nchini sasa apania kufanya maajabu kwa kuweza kufanya kazi zake kimataifa zaidia kwa kupiga muziki wa kimataifa, asema licha ya kuweza kuisidia band yake ya skylight band ambayo kwa sasa ni gumzo la jiji kwa sasa huku wakiwa wamekwisha anza kupata tour tofauti tofauti na hvi karibu wakitarajiwa kuanza ziara jijini mwanza.

KISOMUNDELE ndie aliweza kucompse wimbo ulioweza kutamba sana miaka ya 2007 wa diamond musica MAPENZI KITU GANI lakini pia rhumba ya SANDRA hapo akiwa na diamond musica lakini pia amekwisha kuwahi kutamba na band kama akudo impcact lakini hakuishia hapo pia amekwishatamba na band ya mapacha watatu lakini kwa sasa anasimama vizuri kabisa na band ya skylight band ila mbali nahilo kiso mundele anasema kwa kuwa band yake inapiga wekend tu kwa siku za kawaida gita lake analitumia katika studio mbalimbali kwa wanamuziki tofauti ambao wanataka kupigiwa gita na yeye

Amesema hvi karibu atafanya kazi na diamond ambayo atampigia live kama anavyopiga katika live band na kusema kwa kufanya hviyo analipwa sana tofauti na watu wanavyodhani kuwa wanamuziki wa band wengi wanategemea mapedeshee ili kuishi ila yeye amesema kwa sasa ametengenza njia yakuweza kujiingizia kipato zaidid na kusema kutokana na promo anayoipata na soon ataanza kuzipeleka kazi zake katia media za kimataifa wakati kwa sasa zishaanza kuchezwa kongo na sehemu nyingine

ameongeza kuwa album yake itakuwa na style tofauti tofauti na ikwemo mduara.cupedekale,mduara,afro po na nyinginezo ilik kuweza kuleta ladha tofauti pia atafanya kazi na wanamuziki tofauti na tayari ameshafanya kazi na maunda zoro,chek dar na wengineo.
ameongeza pia wadau wa muziki wakiwemo mabosi waweze kusaport kwa nguvu zote kazi za wasanii waliokatika band sio kwenda kujionyesha kwenye matamasha pekee!!.

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...