WAY

Wednesday, November 13, 2013

BABA LA MABABA a.k.a BABA LEVEL ATOA NGOMA KUTAMBULISHA JINA LAKE HILO JIPYA LAKINI PIA CHINI YA MH ZITTO KABWE WAKO MBIONI KUFANYA TOUR AFRIKA MASHARIKI WANA KIGOMA ALL STARS

BABA LEVEL ndio jina alilokua anajuliakana sana na mashabiki wake toka aingie kwenye game akitokea kigoma na kundi lake ambalo baadae lilivunjika na kujiunga na wanaume halisi na kisha kutoka na kuunda kigoma all star kwa sasa anajiita baba la mababa amefunguka na kuachaia ngoma ambayo anasema itakua ni utambulisho wa jina lake jipya la BABA LA MABABA jina ambalo limetokana na kurithi kutokea kwa mababu zake na kumfanya ye kuwa baba la ma baba huku akisema bado wanakigoma all star wapo kama kawaida na wanaendelea kufanya kazi kama kawaida
  Akizungumzia kuhusu kazi za kundi amesema hivi karibuni wataanza kufanya  tour afrika mashariki kwa ajili ya kudumisha amani ambayo kwa kiasi fulani baadhi ya nchi za afrika mashariki kama imeanza kupoteza vle kwa kupita mdhamini wao mbunge wa kigoma mjini MH ZITTO ZUBER KABWE ambae ndio founder wa kundi hilo kwa kusimamia kazi za wana kigoma hao ambao kwa sasa ndio kwa sehemu kubwa wanatikisa katika anga za muziki afrika mashariki.


kuhusiana na mzozo wake na na  diamond anasema lishakwisha kwa sasa kilichobaki ni kufanya kazi kwa kwenda mbele na kuiweka kigoma all star sehemu nzuri ya kibiashara zaidi

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...