WAY

Thursday, November 14, 2013

NEY WA MITEGO AFUNGUKA KUHUSIANA NA WIMBO WAKE MPYA NAKULA UJANA JE UNAJUA KAWACHANA KINA NANI HUMO ASEMA HUWA HAMUOGOPI MTU ANAPOANDIKA MISTARI YAKE

MSANII mwenye hits inayotikisa kwa sasa kwenye game ya bongo flever ya SALAM ZAO ambapo ndani yake amefanya kuwataja watu waliohusika kwa njia moja ama nyingine katika matukio tofauti ya kisanii
ingawa watu wameidiss sana video ya wimbo huo na kusema haijaenda na uhalisia lakini yeye anasema watanzania wasiwe na video zao vichwani video za sasa zipo kisanii zaidi.
akifunguka kuhusiana na mtindo wake wa kuandika kwa dis za watu kama anavyoandika nakuaga na wasiwasi kidogo anasema huwa hata hafikirii kama kuna kitu kitatokea mbeleni kwa kuwa ye ndio staily aliyoamua kufanya kusema ukweli ingawa wabongo wengi hawapendi ukweli ila yeye ataendelea kusema ukweli daima katika ngoma zake
na nilipomuuliza kuhusu mbona ngoma a salam zao bado iko hits na kwanini anajiandaa kutoa ngoma nyingine au anahisi salamu zao inakufa amesema kuwa msanii mkubwa kamwe haogopi kuachia ngoma kwa sababu ya kuiziba ngoma yake anasema ye anamuua kuwa ashabiki wake kila anapojisikia kutoa kitu na tar 20 mwezi huu ataachia rasmi ngoma yake hiyo ya NAKULA UJANA.

Akizungumzia maudhui ya nakula ujana amesema humo ameongelea mambo mbalimbali yanayohusu vijana sana na maisha yao ya kila siku

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...