WAY

Tuesday, November 19, 2013

KALALA JUNIOUR APANGA KUIGEUKIA BONGO FLEVER KWENYE ALBUM YAKE BINAFSI MBIONI KUFANYA WIMBO NA OMMY DIMPOZ KATIKA UTANGULIZI WA ALBUM YAKE AKANA KUREJEA MAPACHA WATATU KWENYE BIRTHDAY YAO

Mwanamuziki mwenye vipaji vingi katika muziki lakini pia akiwa ni mchezaji mzuri wa mpira wa kikapu mtoto wa nyoka aliegeuka chatu kalala juniour ambae ambae ameshwahi kutamba na band mbalimbali nchini lakni kwa sasa akiwa anatikisa na band ya twanga pepeta Intertnational huku akitamba na wimbo uliobeba jina la album ya band hiyo NYUMBANI NI NYUMBANI 
KALALA amesema yuko mbioni kuandaa album yake binafsi mbali ya ile ambayo wanataraji kuifanya kama familia na kusema kwa sasa yuko mbioni kuandaa kibao cha utangulizi wa album hiyo ambacho amsema ataingia studio na ommy dimpoz kurkodi na kufanyia kila kitu ikiwemo video na kuachia kwenye media huku akitumai album yake itajaa vionjo tofauti tofauti ikwemo rhumba na sebene.
amesema lengo la kutaka kutoa album yake ni kutokana na mashabiki wake kutaka kumsikia kwa vizuri zaidi kipaji alichokua nacho katika uimbaji lakini huku akisema kuwa twanga ndio kituo ambapo kwa sasa atafanya kazi kwa muda mrefu ila mkataba unamruhusu kutoa album yake


kuhusu uuzaji wa kwa kuwa soko la dansi halikubaliki amesema kidogo kwa sasa mziki wa dansi unarudi kutopkana na media nyingi kufunguka na kuanza kusapport kazi za dansi na kusema natumai mbeleni muziki huo utarudi kama zamani!!

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...