Friday, November 22, 2013
Home »
» MAPACHA WATATU WAPANIA KULIZIMA JIJI LA DAR KWA KUWEKA HISTORIA KATIKA MUZIKI WA DANSI KATIKA KUSHEHEREKA MIAKA MINNE WAPANGA KUZINDUA VIDEO MOJA KUTOKA KATIKA ALBUM YA YARABI NAFSI WASEMA KWA WAO NI WAJASILIAMALI NDIO MAANA MAMBO MENGINE HAYAENDI KAMA WALIVYOPANGA WASEMA MCHAKATO WA KUMCHUKUA WAKUZIBA UKO PALE PALE MSIKILIZE MENEJA WA BAND HIYO KHAMIS DACOTA PAMOJA NA MKURUGENZI KHALIDI CHOKORAA WAKIZUNGUMZA
MAPACHA WATATU WAPANIA KULIZIMA JIJI LA DAR KWA KUWEKA HISTORIA KATIKA MUZIKI WA DANSI KATIKA KUSHEHEREKA MIAKA MINNE WAPANGA KUZINDUA VIDEO MOJA KUTOKA KATIKA ALBUM YA YARABI NAFSI WASEMA KWA WAO NI WAJASILIAMALI NDIO MAANA MAMBO MENGINE HAYAENDI KAMA WALIVYOPANGA WASEMA MCHAKATO WA KUMCHUKUA WAKUZIBA UKO PALE PALE MSIKILIZE MENEJA WA BAND HIYO KHAMIS DACOTA PAMOJA NA MKURUGENZI KHALIDI CHOKORAA WAKIZUNGUMZA
Related Posts:
BAADA YA KUIBUKA KUWA MKALI WA MIC NA SAUTI KATIKA MUZIKI WA DANSII DOGO RAMA SASA KUANZA PROJECT MPYA YA ALBUM YAKE YA PILI MSANII anechipukia kwa kasi ya ajbu katika muziki wa dansi ambae kwa sasa pia ni nguzo muhimu katika band kongwe tanzania TWANGA PEPETA huyu zamani alikua akijiita DOGO RAMA lakni kwa sasa masema amekua na mashabiki wanamwit… Read More
MIRIAM JOLWA a.k.a JINI KABULA AFUNGUKA KUHUSIANA SKENDO ZINAZOWAANDAMA WASANII NA KUSEMA NYINGI NI ZA KUTENGENEZA akiri kuwa kuna baadhii ya wasanii wana bifu baina yao MSANII WA FILAMU NA MAIGIZO MIRIAM JOLWA MAARUFU KAMA JINI KABULA amesema magazeti mengi yanaandika habari za wasanii kwa kukuza mambo hata kama jambo wanalofanya ni la kawaida lakini waandishi wanaweza kulikuza na kuonekan… Read More
MONALISA AFUNGUKA KUHUSIANA NA MAKUNDI YA BONGO MOVIES NA SHIRIKISHO LA MSANII JE UNAJUA YEYE YUPO WAPI HEBU MSIKILIE HAPA… Read More
MASHUJAA MUSIC BAND WATOTO WA MAMAA SAKINA NA PAPAA MAISHA KUIVURUGA MTWARA BILA HURUMA SIKUU YA IDD MOSI NA IDD PILI MASASI NA MTWARA MJINI BAND ambayo ni talk of the year MASHUJAA MUSIC BAND ikiongozwa na rasi waoCHALZ BABA KINGUNGE FERNANDO TORES watafanya show mbili ndani ya mtwara katika sikuku za idd ambaopo siku ya idd mosi watakua pale MASASI ndani ya uku… Read More
YVONE CHERRY a.k.a MONALISA AFUNGUKA KUHUSIANA NA SOKO LA FILAMU TANZANIA NA KUSEMA MADISTRIBUTER NDIO WANAFANYA WATU KUTOA PARTY NA PARTY TWO ISIPOLAZIMA LAKNI PIA AFUNGUKA KUHUSIANA NA SCANDEL ZA WASANII KWA mtu anaefatilia tasnia ya uigizaji au filamu jina MONALISA si geni masikoni mwake na huyu pia alishawahi kuchukua tuzo mwaka 2010 kama msanii bora wa kike katika lile tamasha kubwa la ZIFF kwa wasiojua basi ni mwamama wa… Read More
.


0 comments:
Post a Comment