Thursday, November 7, 2013
Home »
» MAPACHA WATATU WASEMA WAMEMCHUKUA MSANII MWENYE ULEMEVU WA MACHO TOKA KUSINI AMBAE ANA KIPAJI KIKUBWA CHA KUIMBA MIZIKI YA AINA YOTE WAKUZIBA INTERNATIONAL ASEMA WAMESHAMUANDALIA NYIMBA NA KILA KITU LAKINI MWENYEWE WAKUZIBA ASEMA HAJAWASILIANA NA MTU YOYOTE WA WATATU NA WALA WASITEGEMEE KAMA WATAMCHUKUA KAMA BOGA TU LAZIMA WAFATE TARATIBU NA SIO KUTANGAZA TU WAKATI HAWAJAFANYA MAZUNGUMZO YOYOTE ASEMA YUKO TAYARI KWENDA KAMA WATATOA HELA YA KUTOSHA KWA KUWA MTU HAKATAI HELA HEBU SIKILIZA HAPA KHALID CHOKORAA AKITHIBITISHA KUSAJILIWA KWA WAKUZIBA NA PIA UTAMSIKIZA WAKUZIBA
MAPACHA WATATU WASEMA WAMEMCHUKUA MSANII MWENYE ULEMEVU WA MACHO TOKA KUSINI AMBAE ANA KIPAJI KIKUBWA CHA KUIMBA MIZIKI YA AINA YOTE WAKUZIBA INTERNATIONAL ASEMA WAMESHAMUANDALIA NYIMBA NA KILA KITU LAKINI MWENYEWE WAKUZIBA ASEMA HAJAWASILIANA NA MTU YOYOTE WA WATATU NA WALA WASITEGEMEE KAMA WATAMCHUKUA KAMA BOGA TU LAZIMA WAFATE TARATIBU NA SIO KUTANGAZA TU WAKATI HAWAJAFANYA MAZUNGUMZO YOYOTE ASEMA YUKO TAYARI KWENDA KAMA WATATOA HELA YA KUTOSHA KWA KUWA MTU HAKATAI HELA HEBU SIKILIZA HAPA KHALID CHOKORAA AKITHIBITISHA KUSAJILIWA KWA WAKUZIBA NA PIA UTAMSIKIZA WAKUZIBA
Related Posts:
TIZAMA INTERVIEWS NA MASHUJAA BAND WAKIAZUNGUMZIA NYIMBO ZAO … Read More
SIKILIZA KING GIOVANII ANAVYOWAAMBIA WADAU WAKE WALIOMIS UTAMU KAMA WA CHUCHU SOUND… Read More
MWANAMUZIKI MASOUD NAMBA YA MWISHO WA MASHUJAA AZUNGUMZIA AJALI NA LICHA YAKUPATA AJALI BURUDANI NDANI YA MASHUJAA INAENDELEA KUWEKA NYIMBO MBILI NDANI YA ALBUM YA MASHUJAA Ikiwa ni kama siku 5 hivi tangu band ya mashujaa ipate ajali mwanamuziki nguli mkali wa sauti ndani ya band hiyo masoud bevans a.k.a namba ya mwisho asema ajali mbili walizopata ni ilikua mipango ya mungu na si jambo lingine… Read More
MJUE MKALI WA ZAMANI WA CHUCHU SOUND KING GIOVANII NA SASA ANATIKISA NA Q BAND LAKINI ANGALI ANAJIPANGA KUJA NA STYLE MPYA ITAKAYOTIKISA TENA BONGO KAMA ENZI ZA CHUCHU Mwanamuziki mkonge wa muziki wa dansi nchini tanzania alienza kutamba toka enzi za FM INTERNATIONAL na alikuja kutikisa zaidi katika band ilikua inatikisa jiji kipindi hicho CHUCHU SOUND iliyokua ikiundwa na wakali kama MAO… Read More
GWIJI LA UCHEKESHAJI NCHINI KING MAJUTO AMEAHIRISHA KUSTAAFU KUIGIZA BAADA YAKUAHIDIWA MKATABA MNONO NA KAMPUNI KUBWA AMESEMA AMECHOKA KUTWANGA PILIPILI MSHAHARA KUKOHOA AWAPONDA WANAODHANI MAGAZETI NDIO YATAUZA KAZI ZAO!… Read More
.


0 comments:
Post a Comment