Friday, November 8, 2013
Home »
» KHEIRAT MANET MTOTO WA NGULI WA MUZIKI WA JAZZ MAREHEM HEMED MANETI ALIEAMUA KUINGIA KATIKA MUZIKI WA DANSI NA KUIRUDISHA VIJANA JAZZ KWA AJILI YA KUMUENZI BABA YAKE ANAAMINI WATOTO WENGI WA WANAMUZIKI WANARITHI VIPAJI VYA WAZAZI WAO AHADI MENGI NDANI YA VIJANA JAZZ WANA SAGA RHUMBA MSIKILIZE HAPA AKIELEZEA ZAIDI KUHUSIANA NA YEYE KUINGIA KWENYE MUZIKI
KHEIRAT MANET MTOTO WA NGULI WA MUZIKI WA JAZZ MAREHEM HEMED MANETI ALIEAMUA KUINGIA KATIKA MUZIKI WA DANSI NA KUIRUDISHA VIJANA JAZZ KWA AJILI YA KUMUENZI BABA YAKE ANAAMINI WATOTO WENGI WA WANAMUZIKI WANARITHI VIPAJI VYA WAZAZI WAO AHADI MENGI NDANI YA VIJANA JAZZ WANA SAGA RHUMBA MSIKILIZE HAPA AKIELEZEA ZAIDI KUHUSIANA NA YEYE KUINGIA KWENYE MUZIKI
Related Posts:
T - FIGHTER - NI MWADADA ANAEIBUKA KWA KASI YA AJABU KATIKA MEDANI YA MZIKI WA BONGO FLVER ANGALIA VIDEO YAKE YA SIJUTII HAPA BONGO MOJA YA WIMBOT - FIGHTER - SIJUTII | BONGO FLEVA… Read More
MENEJA KEVIN WA FM ACADEMIA AFUNGUKA NA KUSEMA KUWA YUPO KWENYE MPANGO WA KUPUNGUZA WANAMUZIKI ILI KUPUNGUZA GHARAMA ZA UENDESHAJI WA BAND LAKINI ASEMA SABABU ZA KUCHELEWA KUTOA ALBUM NI KWA AJILI YA KUTENGENEZA ALBUM AMBAYO ITAKUA BORA NA WASHABIKI KUWA NA HAMU NAYO ZAIDI ASEMA SOKO LA MUZIKI WA DANSI SASA LIMEKUA GUMU ILA AFURUHI ZAIDI KUPIGA SHOW MIKOANI KURUDI TENA MTWARA KUZINDUA NYIMBO ZAO MBILI CHUKI YA NINI NA FATAKI… Read More
DYNA ASHIKILIZA KIDEDEA BEAT YAKE ALIYOIBIWA NA DIAMOND ASEMA YANAYOSEMWA JUU YAKE KITAELEWEKA TU WANAOSEMA ANATAFUTA KICK JUU YA HILO HAWAJUI LILITOKEA ASEMA UTETEZI ANAOTOA DIAMOND JUU YA MUAFAKA YA HILO BEAT BADO HAJAUELEWA MSIKILIZE HAPA AKIFUNGUKA ZAIDI DUH MY NUMBER ONE KWELI UTATA… Read More
KIPAJI KINACHOKUJA JUU KATIKA MUZIKI WA DANSI ATANAS MONTENABE KUTOKA EXTRA BONGO AMESEMA KWA SASA MAEPANGA KUONYESHA UWEZO ZAIDI KWA KUWEZA KUTENGENEZA ALBUM YAKE NJE YA EXTRA BONGO NA KUSEMA HATA KAMA SOKO LA ALBUM HALILIPI LAKINI KAMA MWANAMUZIKI LAZIMA UONYESHE UWEZO BINAFSI AACHIA SINGLE MOJA KAMA UTANGULIZI ASEMA KAZI NZURI ANAYOIFANYA NDANI YA EXTRA BONGO NDIO KAZI NZURI NDIO INAMPA NGUVU YA KUFANYA VIZURI ZAIDI AFUNGUKA NA KUSEMA KUNA MEDIA MOJA INAJIFANYA NDIO IMESHIKILIZA INDUSTRIES YA MUZIKI WA DANSI NA KUTAKA KUUA ILA DANSI NDIO MUZIKI WA UKWELI MSIKILIZE HAPA… Read More
BAADA YA KUFUKUZWA FM ACADEMIA TOSCANEE NZIMBU MTUNZI WA SHIDA YANGU KATIKA ALBUM YA VUTA NIKUVUTE AFUNGUKA NA KUSEMA CHUKI NDIO ILIYOTAWALA NDANI YA FM ACADEMIA NA KUSEMA WENGINE HAWAPOENDI MAENDELEO YA WANAMUZIKI ASEMA SABABU ZA KUSHUKA KIWANGO NI UONGO KWA SABABU INGEKUWA HIVYO ASINGEWEKA WIMBO MPYA NDANI YA ALBUM MPYA SASA WAANZISHA BENDI YAO INAITWA MATRIX MUSIC AMBAPO YUPO YEYE,BEN BIANVANGA,CHEK DAR NA KAMANYOLA AMBAO WOTE WALIFUKUZWA NDANI YA FM ACADEMIA MSIKILIZE HAPA AKIFUNGUKA ZAIDI JUU YA HILO NA UJIO WAO MPYA… Read More
.


0 comments:
Post a Comment