
Rais wa mashujaa musica band amesema kwa mwa huu mfululizo watachukua tuzo tano tena kutoka kill music award kwa kuwa anaamini toka mwaka jana hakuna band iliyoweza kufanya vizuri zaidi yao tena na wameachia nyimbo mbili ikiwemo USHAMBA MZIGO pamoja na THAMANI YA MTU ambapo amesema nyimbo hizo mbili zinatosha kabisa kuweza kuwafanya kuwa vinara katika tuzo za kill award tanzania...