Akiongea na blog hii kiongozi wa band ya skylight Aneth kushaba amesema wako katika hatua za mwisho za kukamilisha marudio ya wimbo wa kariakoo ambao waliutoa mwaka jana lakini haukufanya vizuri sokoni kutokana na mixing zake kuwa mbovu lakini pia kuwana promo ndogo katika media sasa wameama kushirikiana na mameneja wa wanamuziki wa kizazi kipya kama BABU TALE ili kuweza kutanua soko lao la muiki wa live band tofauti na band zingine
Akizungumzia mpka sasa ulipofikia wimbo huo amesema wamekwishakamilisha video na ogopa djs na kilichobaki ni final touch na kuuachia kwa mara nyingine lakini pia amesema mtindo walioufanya katika marudio ya wimbo huo ni katika style za kiafrica zaidi na kuchezeka zaidi lakini waimbaji wataimba vile vile na joniko ataweka mbwembwe zake vile vile ila kwa sasa wanakuwa wamepiga kisasa zaidi
WANA SKYLIGHT BAND
Aidha amesema mipango mingine ya band mwaka huu ni kuachia wimbo walau tatu na baada ya hapo waweze kuachia album sokoni lakini pia kujiweka sehemu nzuri katika soko la muziki wa livena kusema kwa sasa wanataka kutoa ile dhana iliyojengeka kwa baadhi ya watu kuwa skyligt band ni band yavijana wa kishua peke yake

0 comments:
Post a Comment