Waziri wa maji Pr.Jumanne Maghembe
Kufuatia
msaada wa pound za uengereza Milioni 150 zilizotolewa na serikali ya
Uengereza kwa serikali ya Tanzania katika kuboresha huduma ya maji
vijijini wakazi wa vijijini wapato milioni 2 hapa chini wanatarajiwa
kuanza kunufaika na huduma ya maji safi na salama ifikapo desemba
mwaka 2015.
Akizungumza
mara baada ya msaada huo Waziri wa Maji Pr Jumanne Magembe amesema
msaada huo umekuja kwa wakati mwafaka, ambapo wizara yake imeelekeza
nguzu vijijini hivyo kupitia msaada huo kutaharakisha utekelezaji wa
mpango wa matoke makubw sasa BRN.
Pr
Jumanne Magembe amebainisha utekelezaji wa miradi ya maji vijijini na
usafi wa mazingira na mpango wa matokeo makubwa sasa kuwa umesaidia
sana kuondoa magonjwa sumbufu yaliyokuwa wakiwasumbua wananchi
waishio vijijini.
0 comments:
Post a Comment