SERIKALI YATOA TAMKO KUHUSU MALALAMIKO CHAGUZI SERIKALI ZA MITAA
Serikali imetoa tamko kuhusiana na malalamiko ya Vyama vya siasa kuhusu kuingilia mamlaka ya vyama ya kuwapangia watu wa kuwadhamini Wananachama wao pamoja na Mihuri ambayo inatakiwa kutumika kutokana na Watendaji wa Vijiji kuwazuia wanachama hao kujiandikisha.Akitoka Kauli ya Serikali jana Bungeni Mjini Dodoma Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Mizengo Pinda...
Thursday, November 20, 2014
SOMA HABARI HIZO KATIKA BLOG HII
WANAWAKE WAMELETA MABADILIKO NCHINI- MAKINDA
Spika wa bunge kutoka Tanzania Anne Makinda amesema wabunge wanawake nchini wamefanya kazi kubwa katika kuleta mabadiliko juu ya mtizamo wa watu kuhusu wanawake kwenye jamii.Spika Makinda ambaye kwa sasa ni rais wa bunge la nchi za kusini mwa Afrika SADC amefafanua wajibu wa bunge hilo Kwa kueleza kile kilichojadiliwa na kikao hicho cha maandalizi cha mkutano wa maspika kwa mwaka 2015.Mh....
Saturday, November 15, 2014
ZAMU ZAO ZIMEPITA SASA NI ZAMU YA TARSIS MASELA JOTO RAIS YA FASHION-ACHA HIZO NI USIKU WAKE TAR 21.11

Tarsis Masela akizungumza na Waandishi wa Habari
Mwimbaji Nguli wa Akudo Impact Tarsis Masela Joto Rais wa Fasheni na Rais wa Band ya Akudo Impacht antarajia kuzndua Album yake Binafsi nje ya band yake ambayo amwashirkisha wanamuziki mbalimbali akiwemo Mzee Yusuph uzinduzi unaotarajiwa kuwashika...
Tuesday, November 4, 2014
TANZANIA YATUNGA KANUNI MPYA ZA UKAGUZI MAGARI KUPUNGUZA AJALI ZA BARABARANI

Kamanda wa Polisi wa Kikosi cha Usalama
Barabarani nchini Mohamed Mpinga
Jeshi
la Polisi nchini Tanzania Kikosi cha Usalama Barabarani,kimewasilisha
kanuni nne mpya za ukaguzi wa Magari nchini ikiwa ni sehemu ya
mkakati wa kukabiliana na Ongezeko la ajali za barabani hususani kwa
magari yanayosafirisha...
VIJANA WATAKIWA KUACHA KUTUMIKA KISIASA NA BADALA WAWE CHACHU YA MAENDELEO

Wawakilishi
wa vijana kutoka Afrika mashariki pamoja na balozi wa vijana katika
jumuiya ya Madola
Vijana
katika nchi za Jumuiya ya Afrika mashariki wameanza kuonyesha hofu
yao,juu ya namna wanavyotumiwa na baadhi ya wanasiasa, wenye maslahi
binafsi katika kuleta machafuko,...
KURA YA MAONI KATIBA INAYOPENDEKEZWA NI APRIL 30, 2015- PRF. JK

Rais
wa Tanzania Prof. Jakaya Kikwete
Rais
wa Tanzania Prof. Jakaya Kikwete amewataka Watanzania kujitokeza
kwa...
Monday, November 3, 2014
WAKAZI WAKIMBIA MAKAZI YAO KISA MICHANGO YA MAABARA YA SHULE ZA KATA

Mfano wa Maabara zinazotakiwa kuwepo nchini nzima
Baadhi
ya Wananchi Wilayani Karagwe Mkoani Kagera nchini Tanzania
wameyakimbia makazi yao kwa ajili ya Kukwepa kuchangishwa Michango
kwa ajili ya Ujenzi wa Vyumba vya maabara katika shule za Kata.
Afisa
Mtendaji...
BAWACHA WALAANI VIKALI VURUGU KWENYE MJADALA WA JAJI WARIOBA

Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake CHADEMA, Halima Mdee
Baraza
la Wanawake wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, nchini
Tanzania limelaani vikali Vurugu alizofanyiwa aliekuwa Mwenyekiti wa
Tume ya Mabadiliko ya...
SERIKALI KUKAMILISHA UJENZI WA HOSPITAL YA RUFAA MKOANI MARA
Ujenzi wa Hospital ya Rufaa Mkoani Mara
Tatizo
kubwa la ukosefu wa huduma za afya za rufaa ambalo
limekuwa likichangia vifo vingi kwa wananchi...
Saturday, November 1, 2014
Serikali imetenga zaidi ya shilingi Bilion moja kwa ajili ya kununua vifaa vya Maabara zote zinazojengwa nchini

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dk. Shukuru
Kawambwa
Serikali
imetenga zaidi ya shilingi Bilion moja kwa ajili ya kununua vifaa
vya Maabara zote zinazojengwa nchini kwa lengo la kuboresha kiwango
cha elimu na hasa katika shule za sekondari za kata ambazo zilikuwa
hazina...
.

