
Naibu wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh.
George Simbachawene
Serikali
imesema haitawaondoa wanakijiji wa cha Singu kata ya Sigino katika
Halmashauri ya Babati Mkoani Manyara nchini Tanzania ambao wana
mgogoro na mwekezaji katika eneo hilo na kusema kuwa itawapanga
katika utaratibu wa Mipango Miji.
Hayo
yamezungumzwa na Naibu wa Ardhi, Nyumba na...