WELCOME TO GMBONGO BLOG

To keep the body in good health is a duty... otherwise we shall not be able to keep our mind strong and clear.

WAY

Thursday, January 31, 2013

BAADA YA KUACHIA VIDEO YA NGOMA YAKE YA KIPIMO CHA PENZI TOKA KATIKA ALBUM YA LOVE STORY YENYE NYIMBO 18 MSANII TOKA TAMADUNI MUSIC AZMA MPONDA APANIA MPAKA MWEZI WA SITA NYIMBO ZAKE ZOTE 18 AWE AMESHAZIFANYIA VIDEO

MSANII wa kizazi kipya katika miondoko ya hip hop anaekuja kwa sasa kutoka tamaduni music AZMA MPONDA ambae anatamba na wimbo wake wa kipimo cha penzi audio na jana aliweza kuachia video ya wimbo huo ambao umo ndani ya album yake ya love story amesema huo ni mwanzo tu lakini mapngo wake ni mpka kufikia mwishoni mwa mwezi wa sita anataka nyimbo zote zilizokua katika albmu...

KITALE AHOFIA KUONDOKA DUNIA BILA KUOA SASA KUFUNGA NDOA JUMAPILI ASEMA PIA NI KATIKA KUMUENZI SHAROMILIONEA AMBAYE ALIKUA RAFIKI YAKE MKUBWA NA WALIPANGA KUFUNGA NDOA SIKU MOJA ILA MUNGU NAE ALIPANGA YAKE

MCHEKESHAJI NA MSANII WA BONGO FLEVER KITALE amesema panapo maajaliwa jumapili ya tar 3.01.2013 atafunga ndoa huku akiongeza kwa kusema kuwa ameamua kuchukua uamuzi huo kutokana na maisha ya sasa kubadilika lakini pia hata maagzo ya mwenyezi mungu pia yanasema hivyo kwa sasa ameona ni bora aoe lakini sababu nyingine anasema ameamua kuoa kwa sababu ya kumuenzi  rafiki...

TOTOO ZE BINGWA APANIA KUPIGA MZIKI WA ASILI ZAIDI NA BAND YAKE YA SANA SANAA BAND KUIBUKA NA MTINDO WA MDUNDIKO KUIBUA VIPAJI VYA BAND ZINAZOPIGA KWENYE MABAR ILI KUENDELEZA MUZIKI WA KIAFRICA ASEMA NDOTO ZAKE NI KUWA KAMA KINA YOUSER NDOR NA SELIF SIO KUISHIA BONGO

MWANAMUZIKI wa siku nyingi alietamba na band mbali mbali nchini tanznaia ikiwamo AKUDO IMPACT,FM ACADEMIA na nyingine alizofanya miaka ya 2000 na kwa sasa ameibuka na band yake ya SANAA SANA BAND ambayo itakua ikipiga miziki ya asli ikiwemo mdundiko,sindimba na ngoma nyingine za asli za africa ambazo atakua anazipiga katika mtindo wa kisasa na tayari kama sana sanaa band...

Wednesday, January 30, 2013

HABARI NJEMA KWA MASHABIKI WA BLOG YA GMBONGOTHAINTERTAINER.BLOGSPOT.COM KUANZIA WIKI IJAYO KUWA WA KWANZA KUJUA HABARI ZA WASANII WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA,FILAMU NA MUZIKI WA KIAFRICA TOKA TANZANIA PIA KUWA WA KWANZA KUPATA NYIMBO MPYA KWA UHAKIKA ZAIDI LIKE MY PAGE G.MBONGO ILI UWE UPTODATE

Kutokana na mamombi ya mashabiki na wadau wengi wa blog yangu nimeaona kuwa ya kitanzniania zaidi lakini kwa upande wa burudani tu ambapo habari zote mpya utakua unazipata kwenye blog hii ya gmbongothaintertainer.blogspot.com lakini pia habari hizo utaweza kuzipata kwenye timeline yangu ya facebook. g mbongo tha intertainer lakini pia kwenye page yangu ya g.mbongo lakini...

Wednesday, January 23, 2013

EXTRA BONGO KUFAYA BIRTHDAY KWA KUZINDUA ALBUM YAO YA MTENDA AKITENDEWA AMBAPO WATAUZA AUDIO NA VIDEO PAMOJA NA VIDEO ZA LIVE SHOW WALIZOZIFANYA SEHEMU TOFAUTI ZIKIWEMO WALIZOPIGA NJE YA NCHI

BENDI ya muziki wa dansi inayotikisa katika medani ya muziki huo kwa sasa nchini tanzania imepaia kufanya birthday kwa ajili ya kusherekea miaka mnne ya band hiyo ambapo siku ya uzinduzi wa band hiyo ndio siku ambayo wameamua kuizindua album yao ya MTENDA AKITENDEWA ambayo itakua na nyimbo sita zikiwemo MTENDA AKITENDEWA,UFISADI WA MAPENZI,WATU NA FALSAFA,NEEMA,MAMA SHUU...

Thursday, January 17, 2013

BAADA KIMYA KIREFU BWANA MISOSI AIBUKA KIVYINGINE SAFARI HII AIBUKIA KATIKA STYLE YA KIAFRICA ZAIDI LAKINI VILE VILE AJITOSA KWENYE FILAMU ASEMA ANATAKA KUWA WA KIMATAIFA ZAIDI

MSANII wa kizazi  kipya aliewahi kutamba na nyimbo kama NITOKE VIPI,HESHIMA,na nyingine kibao baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu kumbe kimya kingi kina mshindo mkuu sasa aibuka na style nyingine kabisa na wimbo wake umeanza kutikisa katika vituo mbalimbali vya radio na televisheni wimbo ukiwa unaitwa IWEJE ambao ameimba katika mahadhi ya zouk ya asili kabisa amesema...

KINARA WA SIRI YA MTUNGI NA FILAMU YA MAGIC MONEY AFUNGUKA NA KUSEMA MASUPER STAR NA WASAMBAZAJI WANACHANGIA UBOVU WA FILAMU KWA KUANGALIA NANI AMEFANYA NA SIO KIWANGO CHA MOVIES KIKOJE

KINARA anaetamba katika tamthilia ya SIRI YA MTUNGI na filamu yake ya MAGIC MONEY amesema kuna baadhi ya wasanii wakubwa ambao wameshaona game ni yao na hivyo wanaanda movies bora mradi movies na kuziingiza sokoni bila kujali stori wala quality za filamu kwa kujua watanzania ashajua wao ndio waigizaji na pia wasambaji ndio wanazitaka sana filamu za wasanii hao wakubwa matokeo yake unakuta kila mwezi filamu sokoni wakati swala hilo kikawaida haliwezekani...

Tuesday, January 15, 2013

BAADA YA UZINDUZI WA ALBUM YAO YA RISASI KIDOLE KUSHINDWA KUFANA KUTOKANA NA HUJMA KAMA WANAVYODAI SASA MASHUJAA KUFANYA UZINDUZI MWINGINE KWA AJILI YA KUITMBULISHA TENA ALBUM HIYO PAMOJA NA NYIMBO NYINGINE TATU MPYA ZA MWAKA 2013

MASHUJAA MUSICA BAND walifanya utambulisho wa album yao RISASI KIDOLE ndani ya ukumbi wa leaders  mwishoni mwa mwaka wa 2012 ambapo walisindikizwa na nguli wa muziiki africa J.B salvarola binadame shtuka baswahili ambapo uzinduzi huo uligubikwa na utata baada ya kila walipopanda jukwaani umeme ulikua unakatika kiasi chakupeleka kushindwa kupiga nyimbo zao zote                              ...

Thursday, January 10, 2013

2013 KWELI UNA MAMBO NGULI WA TASNIA YA FILAMU ALIEGEUKIA MUZIKI SNURA MUSHI KAJIFUNGIA NCHINI KENYA,MOMBASA KWA AJILI YA KUJIANDAA NA SHOW ZA HIVI KARIBUNI ZA KIMUZIKI ZAIDI KUIBUKA NA NYIMBO MBILI KWA MPIGO DEBE LA VANGA NA MAJANGA ASEMA SASA NI MUZIKI NA FILAMU

MWANADADA anaetamba katika tasnia ya filamu kwa sasa na vile vile akiwa ameugeukia muziki na tayari anatamba na wimbo wake aliomshirikisha mcheza filamu mwenzie  WEMA SEPETU wa SHOGA YAKE MAMA amvbayo ipo kwenye mtindo wa mduara,snura ambae alikua rafiki wa karibu sana wa marehem hussein mkieti SHAROBARO amesema kwa sasa ameelekeza nguvu zake sehemu zote mbili ikiwa...

TWANGA ACADEMIA YAANZA KUTOA MATUNDA,VICTORIA SOUND YACHUKUA MMOJA NI MTOTO WA KIKE ANAEAMINIKA KUWA MRITHI WA KINA LUIZA MBUTU,KHADIJA MNOGA,HALIMA NGALUMA NA WENGINEO WALIWAHI KUTAMBA KIPINDI HICHO

CYANA ni jina geni katika muziki wa dansi lakini ni kipaji kilichoibuka kutoka ndani ya twanga academia ambayo ilikua chini ya walimu wawili nyoshi el saadat na komando hamza kalala na ni band ambayo ipo chini ya aset club ambapo vile vile band hiyo ikiwa ni band dada ya twanga pepeta international ambao huwa ndi huwa wanatumbuiza mwanzo kabla na baada ya hapo band kuubwa hupanda na kuendelea na burudani, CYANA ni msichana pekee aliweza kuingiza...

Tuesday, January 8, 2013

ALIEAMINIKA KUZIBA PENGO LA KALALA JOUNIOR NDANI YA MAPACHA WATATU,JANUARY 11 ACHOMOKA NA KUTUA NDANI YA BAND MPYA YA VICTORIA SOUND ASEMA BADO MAPEMA KUELEZA KILICHOMTOA MAPACHA WATATU

JANUARY 11 si jina geni kwa mashabiki wa mapacha watatu na wadau wa muziki wa dansi alianza kuimba akiwa na mapacha watatu kama mwimbaji msaidizi kwa kuimba classico kabla ya mapacha kupanda lakini vile vile alianza kuimba kwa kufanya back up katika nyimbo tofautitofauti za mapacha watatu na alipoondoka kalala jounior yeye ndie alikua akiziimba verse za kalala ndani ya mapacha...

MWIMBAJI MKONGWE WA DIAMOND MUSIC INTERNATIONAL JUICE YA MACHUNGWA KUIBUKA NA ALBUM YKE YA YA YATAKA MOYO AACHIA SINGLE AKIWA AMEMSHIRIKISHA BWANA MISOSI ASEMA DIAMOND MUSICA BADO IPO LAKINI BISI NDIO HAKUNA ASEMA HAKUNA DIAMOND BILA YEYE AU ALAIN MULUMBA ALIEANZISHA DIAMOND NYINGINE SIO ORIGINAL NI FAKE

Baaada ya kukaa kwa muda mrefu bila ya kufanya show lakini wakiwa wametoa nyimbo zinazofanya vizuri radio kama supu ya kongoro na abdul karimu lakini pia waliweza kutamba na wimbo wao wa mapenzi kitu gani mwanamuziki mmmoja kati ya waliokua wanaunda diamond musica international JUICE YA MACHUNGWA aibuka na kusema kwa mwaka 2013 amejipanga kupakua album yake binfsi alioipa...

Monday, January 7, 2013

BAADA YA KUTIKISA NA WASANII WACHANGA KATIKA FILAMU YA MAJANGA 2012 DK CHENI APANGA KUTAFUTA VIPAJI KUSINI VYA KUFANYA NAE KAZI YA FILAMU NYINGINE ITAKAYOKUJA ASEMA SASA NI MWAKA WA KUIBUA VIJAPI VILIVYOJIFICHA MIKOANI

GWIJI na nguli wa maigizo tanzania MAHSAN AWADH almaarufu kama DK,CHENI amesema aliamua kuwashirikisha wasanii wasio na majina katika movies yake ya majanga ili kuwaonyesh watu kuwa kuna vipaji ambavyo havipewi kipaumbele lakini wana uwezo mkubwa kufanya kazi huku akitolea mfano wa mzee ambae ameigiza kama baba yake katika movies ya majanga na kusema wengi walikua hawajui...

SUPER NYAMWELA KUFUNGUA CHUO CHA KUFUNDISHA MADANCER ILI KUWAJENGA NA KUFANYA IWE KAZI YENYE PROFESIONAL,AANDAA PROJECT YA ALBUM YAKE NA AMINI T.H.T

DANSA aliejizolea umaarufu kutokana na uchezaji wake ambae pia alishawahi kuwa bingwa wa africa mashariki ambae kwa sasa anafanya kazi na band ya EXTRA BONGO akiwa kama muimbaji,mchezaji mtunzi wa show na baadhi ya nyimbo za extra bongo lakini pia ni muimbaji wa nyimbo za kiafrica na bongo flever pia amesema mwaka 2013 anataka kuufanya tofauti zaidi baada ya kuwaza kufungua...

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...