WELCOME TO GMBONGO BLOG

To keep the body in good health is a duty... otherwise we shall not be able to keep our mind strong and clear.

WAY

Wednesday, February 27, 2013

VICTORIA SOUND KUTAMBULISHWA RASMI IJUMAA HII NDANI YA MANGO GARDEN TAYARI WANATIKISA NA MBILI HEWANI SHAMBA LA BIBI NA MWISHO WA SIKU kusindikizwa na extra bongo wazee wa kizigo na jahazi morden taarab

BAND ambayo imekua gumzo kwa muda mfupi iliyochini ya kocha wa dunia prince muumini mwinjuma kufanya utambulisho wa band yao siku ya ijumaa ya tar 1.03.13 pale mango garden ambapo wataweza kuzitambulisha pia nyimbo zao mpya na zile ambazo zimeanza kutikisa kwa vituo vya radio kama vile shamba la bibi ambayo imezua sana gumzo kwamba ni dongo kwa band ya twanga pepeta ambapo...

Tuesday, February 26, 2013

MAPACHA KUZINDUA ALBUM YA YARABI NAFSI TAR 02.03.2013 BUSNEES PARK SASA WAPO KAMBINI BAGAMOYO WAKIJIFUA KWA MAZOEZI MAKALI KWA AJILI YA UZINDUZI HUO UNATARAJIWA KUTIKISA JIJI kusindikizwa na mashujaa,lina na khadija kopa

Nikiongea na mkurugenzi wa mapacha watatu KHALID CHOKORAA amesema uzinduzi wa album ya YARABI NAFSI ambayo itakua na nyimbo nane zikwemo NAONEWA walimshirikisha ALLY KIBA ambao upo katika mahadhi ya bongo flever CHANZO WANAUME waliomshirikisha MALKIA WA MIPASHO KHADIJA OMARY KOPA,NYINGINE NI WOSIA WA BABU,na nyinginezo huku akitanabaisha kuwa album yao itakua ya tofauti zaidi...

Wednesday, February 20, 2013

BAADA YA KUTIKISA NA CAROLINA SKYLIGHT KUACHIA NYINGINE MPYA

BAND inayokuja kwa kasi sasa nchini ya skylight band yenye maskani yake jijini adr-es-salaam ambao kwa sasa wanatikisa na wimbo wao wa carolina band ya skylight ambayo kwa mujibu wa kiongozi wa band hiyo aneth amesema wameamua kuachia wimbo mwingine hiyo ikiwa ni katika mipango ya kuanda album ambayo itawatambulisha kama skylight lakini vile vile na kuweza kujitangaza zaidi...

Monday, February 18, 2013

RAMA PENTAGONE AELEZEA KILICHOMTOA EXTRA BONGO NA KUHAMIA TWANGA PEPETA

Msanii wa siku nyingi katika kundi la extra bongo ambae kwa siku ya jumamosi alitambulishwa rasmi katika band ta twanga pepeta ameweka bayana kile kilichomtoa katika band hiyo na kuhamia twanga pepeta. RAMA PENTAGON ambaye ameshiriki vyema katika albuma mbili za extra bongo kiwemo mjini mipango na mtenda akitendewa amesema kuwa ameondoka extra bongo kwa sababu ya kimaslahi...

Thursday, February 14, 2013

TWANGA PEPETA KUZINDUA LEO VIDEO YA SHAMBA LA TWANGA PEPETA LEO NDANI YA MZALENDO PUB KATIKA SIKUKU YA WAPENDANAO

Wakiwa katika maandalizi ya kuachia album yao ya kumi na 3 mwaka huu ambapo wamekwishakamilisha nyimbo takribani nne mmoja wapo ni ambao unatikisa sasa katika vituo mbali mbali vya radio ambao umetungwa na rapa geryson semsekwa wimbo ukiitwa SHAMBA LA TWANGA PEPTA ambapoo inasemeka ndio unaweza kubeba jina la album ingawa badi hajafahamika rasmi kuhusiana hilo lakini leo...

TIP TOP CONECTION WAHAMIA UPANDE WA FILAMU WATIA FILAMU MOJA SOKONI HUKU ZENGINE ZIKIFATA JUMAPILI KUFANYA USAILI WA KUSAKA VIPAJI VYA WAIGIZAJI WATAKAOKUA CHINI YA TIP TOP NA SASA NI MUZIKI NA FILAMU

KAMPUNI ya tip top conection iliyo chini ya abdu boge ambayo ilikua inalisimamiza kudi zima la tip top conection ambalo linaundwa na MADEE,TUNDA MAN,PINGU,na wengiine kibao sasa mkurugenzi wa kundi hilo ameweza kugeukia upande mwingine ambapo kwa sasa imeundwa tip top film ambayo itakua na waigizaji kama HUSNA SAJENT ambaeni muigizaji maarufu pia aliwahi kushiriki mashindano...

BAADA YA KUPATA AJALI BUIBUI ASEMA WASANII WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA HAWANA UMOJA WALA USHIRIKIANO MAANA AMEKAA WIKI MOJA HOSPITAL BILA HATA MWANAMUZIKI MMOJA KWENDA KUMUONA

Msanii wa kizazi kipya kutoka nyumba ya vipaji tanzania t.h.t aliepata ajali ya pikipiki hvi karibuni na kuvunjika miguu yote miwili amefunguka na kuseam wasanii wa muziki wa kizazi kipya hawana ushirikiano sio kama wa bongo movies baada ya kukaa kimya bila ya mwanamuziki yoyote hata kutoka ndani ya t.h.t alieweza kwenda kumuona hosptalini hapo japo kumjulia hali zaidi ya...

ROSE NDAUKA AKANA KUTAPELI!

KIMYA kingi na stori kibao mtaani juu ya kuingia mitini na ‘mkwanja’ wa  waigizaji  wapya,  hatimaye staa  kutoka  tasnia ya filamu  Bongo, Rose Ndauka kwa  mara nyingine  ameibuka na  kutupilia mbali taarifa  kuwa  amekuwa akiitisha usahili kwa wasanii chipukizi na kuwachukulia fedha kisha  kutokomea...

Saturday, February 9, 2013

BAADHI YA MATUKIO YALIYOJIRI KWENYE BIRTHDAY YA LUIZA MBUTU JANA

LUIZA MBUTU AKIWALISHA KEKI BAADHI YA WANAMUZIKI WA TWAN...

Friday, February 8, 2013

TUNDA MAN AFUNGUKA KUHUSIANA NA KUVUJA KWA NGOMA YA MAREHEM SHAROMILIONEA NA YEYE ASEMA WATU WA KARIBU NDIO HUWA WANAHUSIKA KUVUJA KWA KAZI ZAO LAKINI ASEMA SASA ATATOA NGOMA MBILI KWA MPIGO KWA KUWA AMEKAA KIMYA SANA,

MSANII wa miondoko ya bongo flever tunda man asema kuvuja kwa ngoma zao kunatoka kwa watu wa karibu ambao mtu unakua umemwamni kama mshkaji lakini mwisho wa siku unaikuta ngoma mtaani na ndivyo ilivyotokea kwenye ngoma ya vuluvulu au nawavuruga ya marehem hussein mkieti A.K.A sharomilionea aliyoshirikishwa yeye kuwa mtaani na kusema kuwa hana taarifa yoyote kuhusiana na kutoka...

Wednesday, February 6, 2013

TWANGA KUMFANYIA LUIZER MBUTU BIRTHDAY jumamosi

  MWIMBAJI na Kiongozi wa Bendi ya African Stars “Twanga Pepeta” Luizer Mbutu anataraji kufanyiwa sherehe ya siku yake ya kuzaliwa (Birthday Party) siku ya Jumamosi tarehe 09-02-2013 katika ukumbi wa Mango Garden uliopo maeneo ya Kinondoni jijini Dar es salaam. Luizer Mbutu hii ni mara ya pili kufanyiwa sherehe hiyo huku kwa mara ya kwanza ilikuwa ni mwaka...

Monday, February 4, 2013

HATIMAYE TEJA KITALE ACHUKUA JIKO PANDE ZA MWANANYAMALA SASA SIO KAPELA TENA

MSANII wa tasnia ya filamu za comedy na maigizo pamoja na muziki wa bongo flever hatimae jana mchana ameuaga ukapela rasmi na kuweza kuingia katika maisha ya kifamilia zaidi baada ya siku ya jana ya 03.02.13 kufunga ndoa maeneo ya mwananyamala harusi ambayo ilihudhuriwa na mastar kibao wa bongo flever na filamu hivyo kufanya kitale kuwa mmoja kati ya wasanii wachache walioa...

Sunday, February 3, 2013

MAPACHA KUINGIZA SOKONI ALBUM YAO YA "YARABI NAFSI" WAMESHAMALIZA VIDEO YAO NA ALIKIBA -NAONEWA SAS KUFANYA BONANZA KILA JUMAPILI NDANI YA MIKOCHENI RESORT

Album hii mpya ya mapacha watatu inakwenda kwa jina la "yarabi nafsi"na ina nyimbo sita nyimbo ya kwanza kuotoka iliitwa..USIA WA BABU..(2)CHANZO WANAUME..feat KHADIJA KOPA(3)NAONEWA Feat ALI KIBA(4)ni amba yo inabeba jina la album ambapo tayari imekwisha kuwa tayari na itaingia mitandaoni siku ya ijumaa..inaitwa YARABI NAFSI ..humu utaskia waimbaji chipukizi wa mapacha...

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...