WELCOME TO GMBONGO BLOG

To keep the body in good health is a duty... otherwise we shall not be able to keep our mind strong and clear.

WAY

Sunday, September 29, 2013

Wednesday, September 25, 2013

SALEHE KUPAZA ASIMAMISHWA KAZI TWANGA PEPETA HATARINI KUIKOSA BONANZA YA TWANGA NDANI YA MTWARA

MUIMBAJI mwenye sauti ya aina yake Salehe Kupaza , amesimamishwa kazi  na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya The African Stars  (ASET)  Asha Baraka ,inayomiliki bendi kongwe ya muziki wa dansi ya Twanga Pepeta International.Kusimamishwa kazi kwa muimbaji huyo kunatokana na kosa la utovu wa nidhamu aliouonesha mbele ya Mkurugenzi wake.Akizungumza na Bongoweekend...

Friday, September 20, 2013

fm academia ndani ya mtwara naimbo zao mpya tizama hapa

...

Tuesday, September 17, 2013

BAADA YA KUTEKESEKA KWA MUDA MREFU NA MADAWA YA KULEVYA AISHA MADINDA AACHA UTEJA NA ARUDI TWANGA PEPETA IKIWEZEKANA KUWEPO KWENYE TOUR YA BONANZA LA TWANGA NDANI YA MAKONDE BAECH CLUB 29.9.2013

 Kutoka kulia aliyekuwa mnenguaji  nyota wa  bendi ya Twanga Pepeta Aisha Madinda na Mkurugenzi wake Asha Baraka  katika ofisi za ASET, zilizopo Kinondoni jijini Dar es Salaam. Aisha Madinda  akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi  Mtendaji wa ASET , Kampuni inayomiliki bendi ya Twanga Pepeta Asha Baraka 'Iron Lady', Kiongozi...

Thursday, September 12, 2013

KALALA JONIOUR ASEMA TWANGA ALBUM 12 ZIMEWEZA KUTOKA KATIKA BAND HIYO KUTOKANA NA WATUNZI WENGI WALIOWEZA KUPITA KATIKA BAND HIYO NA HAKUNA HATA ALBUM MOJA KATI YA HIZO ILILIPULIA

Akizungumza na blog hii kuhusu show yao ya KALALA JUNIOUR amesema kutoa album kila kwa mwaka kwa twanga pepeta ni jambo ambalo limewezekana kutokana na watunzi wazuri wengi kupita katika band hiyo kwa kipindi tofauti na band nyingine kongwe ambazo zimekaa na wanamuziki kwa muda mrefu bila kuchanganya changanya ndio maana hata album zinakua chache ila twanga wamweza na pia...

Tuesday, September 10, 2013

SNURA MUSHI ASEMA WASICHANA WANAOCHEZA BILA KUVAA NGUO ZA NDANI HAWAJIAMINI NA HATA KAMA WANADHANI NA YEYE YUMO SASA AMEKUJA STYLE MPYA YA UVAAJI KWENYE JUKWAA GAUNI NDEFU LINA MPASUO NA KISHA NDANI PENSI NDANI NA BURUDANI ITATOKA KAMA KAWAIDA HATAKI KUPATA UMAARUFU KWA KUJIDHALILISHA sikiliza hapa

MWANADADA anaekuja kwa kasi katika medani ya muziki wa kaifrica na bongo flever tanzania snura mushu a.k.a snu sex majanga amesema kuwa wanaodhani wao huwa hawavai nguo za ndani kisha kupanda stejini kwa kudhani kuwa ndo kunawavuta wengi wanakosea na sasa yeye kuthibitisha hilo amesema kwa sasa atakuja na style mpya ya kushona gauni ndefu halafu ndani atavaa pensi itakayoonekana...

Monday, September 9, 2013

MUIMBAJI NGULI WA MUZIKI WA DANSI ROGERT HEGGA CATAPILA AFUNGUKA NA KUSEMA MAISHA NDIO YAMEMFANYA KUONDOKA EXTRA BONGO NA KUANZISHA BAND YA SUPERSTAR NA WALA HANA UGOMVI NA ALLY CHOKI INGAWA KAMARADE HAKURIDHIA AONDOKE

Mwanamuziki nguli wa muziki wa dansi ambae amewahi kutamba katika mabd tofauti tofauti na mara hii akitokea extra bongo na kuunda band ya super star ambayo itakua ikiongozwa na magwiji mbali waliwahi kutamba kipindi cha nyuma na bado wakiwa wanaendelea kufanya muziki vizuri kwenye game hiyo ya muziki a dansi ambapo aliweza kuwaorodhesha wanamuziki baadhi watakaounda superstar...

Friday, September 6, 2013

WIMBO WA DIAMOND MY NUMBER ONE WAZIDI KUZUA KIZAZAA BAADA YA DYNA KULALAMIKA AMEIBIWA BEAT NA DIAMOND NA MKIGOMA MWENZIO BABA LEVO ASEMA DIAMOND KAMUIBIA CHOURUS YA WIMBO WAKE MPYA WA MY NUMBER

Huku ikiamina wana lekalutigite ni wamoja hivi karibuni umezika utata babada ya diaomnd kuachia wimbo wake wa my number one ambao ndio gumzo la mji kwa sasa mwanadada dyna alilalamika kuibiwa wimbo huo beat yake na alikua akitaka kufanya na diamond mwenyewe lakini mwisho wa siku kaja kuisikia kwenye wimbo huo wa diamond, hayo yakiwa bado ya moto mkigoma mwenzie waliokwenye...

Thursday, September 5, 2013

NEY WA MITEGO ASEMA MADAM RITHA HATA HELA YA KUMLIPA YEYE KUWA JAJI BONGO STAR SEARCH NA KUONGEZA KUWA AMEOGOPA KWENDA MAHAKAMANI KWA KUWA ANAJUA ANACHOKIFANYA NA ANGEENDA NDIO ANGEONA KAMA HAWEZI KUMLIPA,PIA ASEMA WALIOMTISHIA KWA SMS WAMEOMBA MSAMAHA ILI ASIWATAJE

Mwanamuziki wa hip hop anaetikisa kwa sasa na wimbo wake wa SALAM ZAO, Ney wa mitego amefunguka baada ya shutuma za kuwa madam ritha amesema hata akimpeleka mahakamani kuwa hana hela za kumlipa kwa yale aliosema, ney amevimba kama ana uhakika na kesi hiyo  angeenda mahakamn ashinde aone kama hata mlipa hiyo hela ila kwa kuwa anajua anachokifanya katika  bongo starsearch...

CRISTIAN BELLA AFUNGA ASEMA MALAIKA BAND HAITOKANI NA VICTORIA SOUND NA WALA HATAGEMEI KUCHUKUA WANAMUZIKI KUTOKA BENDI HIYO NA BAND HIYO IKO CHINI YAO ILA MKURUGENZI WA VICTORIA NI MMOJA WA WADHAMINI WA BAND YAO

KWA sasa anajulikana zaidi kama king of the melodies ambae alikua rais wa akudo impact na hatimaye kwa sasa kusimama kama solo project amefunguka na kuweza wazi kuwa ameajiriwa ili kutengeneza band ya pembeni ya vicoria sound na kuibadilishajina kuita malaika badn na kusema hilo suala sio la ukweli malaika band ni band inayojitegemea na wala haitokani na victoria na wala...

Wednesday, September 4, 2013

BAADA YA KUACHIA WIMBO WAKE WA CHUKI BILA SABABU DOGO RAMA A.K.A BULLDOZA ASEMA WADAU WATARAJIE MAKUBWA ZAIDI KUSHINDA ALBUM YAKE YA KILOMETA 10000

MWANAMUZIKI wa dansi anaekuja juu sana katika medani ya muziki huo hapa nchini akiwa anafanya kazi na band ya TWANGA PEPETA lakini wakati huo huo akitengeneza kazi zake mwenye ambazo anasema kwa lengo la kuonyesha kipaji chake na zaidi lakini pia kujiongezea kipato kwa kuwa uongozi wa band hiyo umekubaliana na suala na kwa sasa tayari ameshaipeleka sokoni album yake aliyoiachia...

Tuesday, September 3, 2013

MKALI ALITEMBA NA STONO MUSICA AMBAE KWA SASA NI MWALIMU KUTOKA JUMBA LA VIPAJI T.H.T KARDINAN GENTO AACHIA NGOMA YAKE KAMA SOLO ASEMA HANA MPANGO WA KUANZISHA BAND KUIBUA ALBUM YAKE HIVI KARIBUNI

Mwanamuziki alitemba katika miaka ya 2000 KARDINAL GENTO ameachia ngoma yake baad ya kukaa kimya kwa muda mrefu bila kutoa wimbo lakini alishughulika zaid katika kuwaandalia wasanii kutoka jumbal avipaji t.h.t sasa ameamua kurudi tena kwenye medani ya muziki na ameweza kuachia ngoma moja aliyoipa jina la NYUMA YAKO na kusema huo ni utangulizi katika utambulisho wa album yake mpya ya UWEZO ambayo atairekodi katika mitindo tofauti tofauti ikiwemo...

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...