Saturday, September 28, 2013
Home »
» BADI BAKULE ASEMA LICHA YA MEDIA KUBANA MUZIKI WA DANSI LAKINI PIA TUNGO ZA VIJANA WENGI WA SASA AU WANAMUZIKI ZIMEJAA MAJINA LAKINI ASEMA WAKONGWE WANAJITAHIDI KUREKEBISHA ILA MUZIKI UWE NA LADHA ZA KAMA ZAMANI NA NDIO MAANA HATA NYIMBO ZA TWANGA ZIMEIMARIKA KUTOKANA NA BAND HIYO KUONGOZWA NA WAKONGWE KADHAA WANAWEZA KUREKEBISHA BAADHI YA TUNGO ASEMA SASA YUKO MBIONI KUFANYA STYLE NYINGINE YA MUZIKI KUONYESHA KIPAJI CHAKE ILA ASEMA WIMBO WAKE WA MWENDA POLE WA KWENYE ALBUM YA NYUMBANI NI NYUMBANI NI KIBOKO AAHIDI MATAMU KWA MASHABIKI WAKE NDANI YA BONANZA LA TWANGA MTWARA LEO
BADI BAKULE ASEMA LICHA YA MEDIA KUBANA MUZIKI WA DANSI LAKINI PIA TUNGO ZA VIJANA WENGI WA SASA AU WANAMUZIKI ZIMEJAA MAJINA LAKINI ASEMA WAKONGWE WANAJITAHIDI KUREKEBISHA ILA MUZIKI UWE NA LADHA ZA KAMA ZAMANI NA NDIO MAANA HATA NYIMBO ZA TWANGA ZIMEIMARIKA KUTOKANA NA BAND HIYO KUONGOZWA NA WAKONGWE KADHAA WANAWEZA KUREKEBISHA BAADHI YA TUNGO ASEMA SASA YUKO MBIONI KUFANYA STYLE NYINGINE YA MUZIKI KUONYESHA KIPAJI CHAKE ILA ASEMA WIMBO WAKE WA MWENDA POLE WA KWENYE ALBUM YA NYUMBANI NI NYUMBANI NI KIBOKO AAHIDI MATAMU KWA MASHABIKI WAKE NDANI YA BONANZA LA TWANGA MTWARA LEO
Related Posts:
SIKILIZA ALICHOSEMA MANGWEAR BAADA YA KUPIGWA NA CHIDI BENZI NA CHIDI BENZI AFUNGUKA KUHUSIANA NA HILO LAKINI SIKILIZA NYIMBO YA BI CHEKA NA AKIZUNGUMZIA MAFANIKIO YA KIMUZIKI ALIYOKUA NAYO TOKA AANZE MUZIKI NA JE UNAJUA SONGA BAADA YA KUTOA MAONI KUHUSU NYIMBO YA DIAMOND NA NEY WA MITEGO LAKINI SIKILIZA LIL WYNE AKIFUNGUKA KHUSUA AFYA NA VILE VILE NA SHOW ALIZOPANGA KUZIPIGA NI KATIKA MADINI YA TOWN LEO ON www.gmbongothaintertertainer.blogspot.com… Read More
SIKILIZA KWANINI TSONGA KAIDIS NGOMA YA NEY WA MITEGO NA DIAMOND MUZIKI GANI ASEMA NI IDEA AMBAYO HATA MADEE ALISHAIFANYA NA GODZILLAH LAKINI VILE VILE MSIKILIZE PETER MSECHU AKIFNGUKA KUHSUIANA NA NGOMA YAKE MPYA YA KUMBE NI IDEA AMBAYO INAIGUSA SANA JAMII LAKINI PIA SIKILIZA LINEX AKIFUNGUKA KUHUSIANA NA SHOW YAKE YA JUMAPILI NA KUSEMA AMEPANGA KUFANYA CONCERT CLASSIC LAKINI AZUNGUMZIA KWANINI ATASHINDWA KUFANYA SHOW HIYO NA LIVE BAND LAKINI HATA HIVYO YEYE ATAIMBA LAIVU ZAIDI LAKINI PIA SIKILIZA DIS YA KEYSHA COLE KWA BEYONCE… Read More
SIKILIZA ALICHOPANGA KUFANYA JOKATE KWENYE BIRTHDAY YAKE SIKU YA JANA ANASEMA ALITAKA KULALA TU UNAJUA MARAFIKI ZAKE WALIMWAMBIA NN!? LAKINI SIKILIZA ROMA AKIELEZEA ANA WIMBO 6 LAKIZI ALIZOFANYIA VIDEO NI MBILI TU UNAJUA KWANINI LAKINI APANGA MWAKA HUU KUTOA ZAIDI YA VIDEO TATU LAKINI PIA MSIKILIZE MONA GANGSTAR BAADA YA KUMTOA BELLE 9 NI NANI ANAFUATA NA UNAJUA MTU ANAWEZA KUMFUMANIA MME WAKE NA AKASEMEHE NA NDICHO ALICHOFANYA DADA YAKE TONI BRAXTONY UNAJUA ILIKUAJE SIKILIZA HAPA… Read More
MENEJA WA MAPACHA WATATU KHAMIS DACOTA ALIA NA MEDIA KUUKANDAMIZA MUZIKI WA DANSI ASEMA SAPORT WALIOIPATA MIEZI MICHACHE ILIKUA NI DANGANYA TOTO … Read More
SIKILIZA KINACHOKWENDA KUTOKEA NDANI YA MAKONDE ROYAL CLUB KILA JUMATANO YAANI NI KIAFRICA ZAIDI NI BOLINGO,RHUMBA,CUPEDEKALEE,KWAITO,DANSI… Read More
.


0 comments:
Post a Comment