Monday, September 9, 2013
Home »
» BAADA YA KUACHIA WIMBO WAO MPYA WA KARIAKOO SKYLIGHT BAND WAMESEMA WATATOA NYIMBO NYINGI ZAIDI ILI KUWAPA NAFASI MASHABIKI WAWEZE KUCHAGUA NYIMBO AMBAZO ZITAKUWEMO KATIKA ALBUM YAO MSIKILIZE HAPA KIONGOZI WA SKYLIGHT ANETH KUSHABA a.k.a ak47 AKZINGUMZIA HILO
BAADA YA KUACHIA WIMBO WAO MPYA WA KARIAKOO SKYLIGHT BAND WAMESEMA WATATOA NYIMBO NYINGI ZAIDI ILI KUWAPA NAFASI MASHABIKI WAWEZE KUCHAGUA NYIMBO AMBAZO ZITAKUWEMO KATIKA ALBUM YAO MSIKILIZE HAPA KIONGOZI WA SKYLIGHT ANETH KUSHABA a.k.a ak47 AKZINGUMZIA HILO
Related Posts:
ASHA BARAKA ASEMA KUFANYA MABONZA MIKOANI KILA MWISHO WA MWEZI BAADA YA MWANZA MWISHO WA MWEZI HUU KUFANYA BONANZA NDANI YA MTWARA ASEMA HUO NDIO UTAKUA UTARATIBU WA KUWAPA BURUDANI MASHABIKI WA TWANGA PAMOJA NA KUWEZA KUIUZA ALBUM YAO YA NYUMBANI NI NYUMBANI MIKOANI MSIKILIZE HAPA KWANINI SEHEMU YA PILI WAMEONA NI MTWARA BAADA YA KUTOKA MWANZA… Read More
BAADA YA KUTEKESEKA KWA MUDA MREFU NA MADAWA YA KULEVYA AISHA MADINDA AACHA UTEJA NA ARUDI TWANGA PEPETA IKIWEZEKANA KUWEPO KWENYE TOUR YA BONANZA LA TWANGA NDANI YA MAKONDE BAECH CLUB 29.9.2013 Kutoka kulia aliyekuwa mnenguaji nyota wa bendi ya Twanga Pepeta Aisha Madinda na Mkurugenzi wake Asha Baraka katika ofisi za ASET, zilizopo Kinondoni jijini Dar es Salaam. Aisha Madinda … Read More
INAWEZEKANA WATU HAWAITILII MAANANI BAND YA K MONDO SOUND ILIYO CHINI YA TICHER MANGUSTIONI WANA NYIMBO KALI SANA HEBU SIKILIZA RHUMBA HII INAITWA MAWAZO UTASIKIA SAUTI ZILIVYOPANGWA ZIKAPANGIKA HAPO UTAMSIKIA VUMI NA CLARENA WANADADA AMBAO WANATISHA KWA MASAUTI SIKILIZA N DOWNLOAD HAPA… Read More
KALALA JONIOUR ASEMA TWANGA ALBUM 12 ZIMEWEZA KUTOKA KATIKA BAND HIYO KUTOKANA NA WATUNZI WENGI WALIOWEZA KUPITA KATIKA BAND HIYO NA HAKUNA HATA ALBUM MOJA KATI YA HIZO ILILIPULIA Akizungumza na blog hii kuhusu show yao ya KALALA JUNIOUR amesema kutoa album kila kwa mwaka kwa twanga pepeta ni jambo ambalo limewezekana kutokana na watunzi wazuri wengi kupita katika band hiyo kwa kipindi tofauti na band… Read More
BAADA YA KUTAMBA NA ALBUM YAKE YA KILO META 10000 SASA DOGO RAMA KUJA NA ALBUM NYINGINE NA HUU NDIO WIMBO WA KWANZA UTAKAOKUWEPO KWENYE ALBUM YA YA PILI YA CHUKI BILA SABABU NA HUU WIMBO UNAITWA CHUKI BILA SABABU HEBU USIKILIZE HAPA… Read More
.


0 comments:
Post a Comment