WELCOME TO GMBONGO BLOG

To keep the body in good health is a duty... otherwise we shall not be able to keep our mind strong and clear.

WAY

Tuesday, August 28, 2012

MAPACHA WATATU YADHIIRISHA BADO IMARA LICHA YA KUONDOKA KWA PACHA MMOJA YAACHIA MBILI KALI MOJA WAKIMSHIRIKISHA ALLY KIBA NA NYINGINE KHADIJA KOPA WAKO MBIONI KUREKODI NA FERRE "SHETANI"GORA

HUKU wengi wakidhani kuwa kuondoka kwa kalala jounor mapacha watatu basi ndio mwisho wake hilo wamesema sio kweli na sasa wameachia wimbo mbili moja wakiwa wamemmshirikisha gwiji wa bongo flever ALLY KIBA ikipiewa jina la NAONEWA na nyingine ambayo wametoa video tu wakiwa wamemshirikisha malikia wa mipasho tanzania KHADIJA OMARY KOPA ambayo nyimbo hiyo ipo katika mahadhi...

Monday, August 27, 2012

FM ACADEMIA MBIONI KUIACHIA CHUKI YA NINI

Kwa mujibu wa rasi wa FM ACADEMIA,NYOSHI -EL-SAADAT amesema tayari wamekwisha maliza kurekodo album yao ya CHUKI YA NINI ambayo inaenda kufanyiwa mastering nchini uingereza ili kuweza kupunguza maharamia wa kazi za wasanii na vile vile kuweza kuweka ubora zaidi katika usikivu wa nyimbo zao ambapo kwa mujibu wa nyoshi watafanya kama mwaka jana kuwa watatoa album mbili kwa...

Thursday, August 23, 2012

BAADA YAVUGUVUGU REEEFU LA KALALA AMA MASHUJAA MA TWANGA SASA LAPATIKANAKAULI YA KWANZA YA KALALA JUNIOR MARA BAADA YA KUTANGAZA RASMI KUJIUNGA NA TWANGA PEPETA!

KALALA JOUNIOR RASMI AREJEA NYUMBANI NI NYUMBANI TWANGA PEPETA INTERNATIONAL KISIMA CHA BURUDANI Kalala arejea Twanga Pepeta na zawadi nono!   UONGOZI wa kampuni ya African Stars Entertainment Tanzania (ASET) umemtambulisha rasmi mwanamuziki mwenye vipaji vingi, Kalala Hamza Kalala maarufu kwa jina la Kalala Junior. Kalala alitambulishwa kwenye mkutano na waandishi...

Tuesday, August 21, 2012

MASHUJAAAAA WAFANYA BALAA MTWARWA WAACHA BONGE LA GUMZO

                                PRESDAAAA WA MASHUJAA CHALZ BABA KINGUNGE                                 ...

Friday, August 17, 2012

SINTA AFUNGUKA KUHUSIANA NA MOVIE YAKE YA THE RETURN OF THE J.LO LAKINI PIA AFUNGUKA KUHUSIANA NA SAKATA LAKE NA QUEEN WA VIDEO ZA BONGO FLAVER AGNES MASOGANGE

CHRISTINE JOHN a.k.a SINTAH a.k.a J.LO WA AFRICA amefuinguka kuhusiana na ujio mpya wa movie uyake mpya ya the return of the J.LO ambayo ndani yake amewashirikisha msaniii kama NYOSHI EL SADAAT,BEN KINYAIYA na wengine kibao na hiyo akiwa ameifanya katika prodction yake ya preety sintah ambapo  baada ya hiyo  zitakuja nyingi zaidi.                                                          ...

Thursday, August 16, 2012

DRC: Mwanamuziki Koffi Olomidé ahukumiwa kifungo cha miaka mitatu

  Mahakama ya mjini Kinshasa katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, imemhukumu kifungo cha miezi 3 jela mwanamuziki mashuhuri Koffi Olomidé kwa kukutwa na hatia ya kuvuruga usalama wa umma. KOFFI OLOMIDE AKIWA NA CIDY LE COUR Koffi Olomide alikamatwa hapo jana baada ya kumrushia ngumi na kumuumiza meneja wake wa muziki. Olomidé ambaye alijipatia sifa...

MASHUJAA MUSIC BAND WATOTO WA MAMAA SAKINA NA PAPAA MAISHA KUIVURUGA MTWARA BILA HURUMA SIKUU YA IDD MOSI NA IDD PILI MASASI NA MTWARA MJINI

BAND ambayo ni talk of the year MASHUJAA MUSIC BAND ikiongozwa na rasi waoCHALZ BABA KINGUNGE FERNANDO TORES watafanya show mbili ndani ya mtwara katika sikuku za idd ambaopo siku ya idd mosi watakua pale MASASI ndani ya ukumbi wa EMIRATES halafu show ya pili ambayo ndio itakua funga kazi itafanyika ndani ya mtwara town ndani ya ukumbi wa wastaarab MAKONDE BEACH CLUB                                    ...

Wednesday, August 15, 2012

YVONE CHERRY a.k.a MONALISA AFUNGUKA KUHUSIANA NA SOKO LA FILAMU TANZANIA NA KUSEMA MADISTRIBUTER NDIO WANAFANYA WATU KUTOA PARTY NA PARTY TWO ISIPOLAZIMA LAKNI PIA AFUNGUKA KUHUSIANA NA SCANDEL ZA WASANII

KWA mtu anaefatilia tasnia ya uigizaji au filamu jina MONALISA si geni masikoni mwake na huyu pia alishawahi kuchukua tuzo mwaka 2010 kama msanii bora wa kike katika lile tamasha kubwa la ZIFF kwa wasiojua basi ni mwamama wa watoto wawili tu lakini kujitunza anaonekana bado msichana kabisaaa. LEO NIMEZUNGUMZA NAE katika KONA YA BONGO FILAMU na ameweza kufunguka mengi sana...

Monday, August 13, 2012

BAADA YA KUIBUKA KUWA MKALI WA MIC NA SAUTI KATIKA MUZIKI WA DANSII DOGO RAMA SASA KUANZA PROJECT MPYA YA ALBUM YAKE YA PILI

MSANII anechipukia kwa kasi ya ajbu katika muziki wa dansi ambae kwa sasa pia ni nguzo muhimu katika band kongwe tanzania TWANGA PEPETA huyu zamani alikua akijiita DOGO RAMA lakni kwa sasa masema amekua na mashabiki wanamwita KING RAMA a.k.a DISMINDER BOY,VUALLA sasa yupo mbioni kuandaa album yake ya pilia baada ya ile ya kwanza kufanya vizuri kiasi chake hapa naizungumzia...

Saturday, August 11, 2012

MIRIAM JOLWA a.k.a JINI KABULA AFUNGUKA KUHUSIANA SKENDO ZINAZOWAANDAMA WASANII NA KUSEMA NYINGI NI ZA KUTENGENEZA akiri kuwa kuna baadhii ya wasanii wana bifu baina yao

MSANII WA FILAMU NA MAIGIZO MIRIAM JOLWA MAARUFU KAMA JINI KABULA amesema magazeti mengi yanaandika habari za wasanii kwa kukuza mambo hata kama jambo wanalofanya ni la kawaida lakini waandishi wanaweza kulikuza na kuonekana ni bay katika jamii na kukusitiza kuwa sometym huwa anajua hata kwanini alijiingiza katika tasnia hiyo kutokana na mambo mengi yanayomfanya ashindwe...

Monday, August 6, 2012

EXTRA BONGO KUTUA TANZANIA NA VIDEO MPYA KALI WAMEWACHEZESHA WAZUNGU,WAKATIZA ZIARA YAO ULAYA KBLA YA MWEZI

Wakiwa mbioni kurejea tanzania extra bongo wazee wa kizigo ambao walikua wanatour ya karibu mwezi mzima ambayo imekatizwa katika baadhi ya nchi kutokana na mwezi wa ramadhani katika nchi kama NORYWAY lakini wamemaliza show yao ya mwisho SWEEDEN. LE KAMARADE CHOKI Akiongea kutoka SWEEDEN mkurugrnzi wa EXTRA BONGO,ALLY CHOKI amesema licha ya kukatiza ziara yao lakini pia...

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...