WAY

Monday, August 27, 2012

FM ACADEMIA MBIONI KUIACHIA CHUKI YA NINI

Kwa mujibu wa rasi wa FM ACADEMIA,NYOSHI -EL-SAADAT amesema tayari wamekwisha maliza kurekodo album yao ya CHUKI YA NINI ambayo inaenda kufanyiwa mastering nchini uingereza ili kuweza kupunguza maharamia wa kazi za wasanii na vile vile kuweza kuweka ubora zaidi katika usikivu wa nyimbo zao ambapo kwa mujibu wa nyoshi watafanya kama mwaka jana kuwa watatoa album mbili kwa moja wakiwa na maana watatoa album yenye jina moja lakni zitapatikana katika cd mbili huku akisema tayari wamekwishaanza kupiga nyimbo zao mpya katika show zao mbali mbali wanazoendelea kuzifanya ndani na nje ya jiji la dar

                                   WAZEE WA NGWASUMA MZIGONI
NYOSHI ameongeza kusema kuwa sasa wapo mbioni kuzipeleka nyimbo mbili radio kama utambulisho na wa album yao ambao watapeleka sebene moja na wimbo wa kawaida mmoja na baadae kuweza kuzindua album yao ya chuki ya nini ambayo itakua na nyimbo takaribani nane
                                  PATCHO MWAMBA AKIFANYA MAZOEZI YA SHOW
 mbali na hilo pia nyoshi mwenyewe ameingia kwenye ulimwengu wa filam na kwa mara ya kwanza katika movies siriaz ataoneka kwenye movie ya mwanadada mahiri katika uingiza SINTAH aktika filam ya the rutern of the j.lo
                MOJA YA SCEN ZITAKAZO PATIKANA KATIKA THE RETURN OF THE J.LO

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...