WAY

Tuesday, August 28, 2012

MAPACHA WATATU YADHIIRISHA BADO IMARA LICHA YA KUONDOKA KWA PACHA MMOJA YAACHIA MBILI KALI MOJA WAKIMSHIRIKISHA ALLY KIBA NA NYINGINE KHADIJA KOPA WAKO MBIONI KUREKODI NA FERRE "SHETANI"GORA

HUKU wengi wakidhani kuwa kuondoka kwa kalala jounor mapacha watatu basi ndio mwisho wake hilo wamesema sio kweli na sasa wameachia wimbo mbili moja wakiwa wamemmshirikisha gwiji wa bongo flever ALLY KIBA ikipiewa jina la NAONEWA na nyingine ambayo wametoa video tu wakiwa wamemshirikisha malikia wa mipasho tanzania KHADIJA OMARY KOPA ambayo nyimbo hiyo ipo katika mahadhi ya mduara na kusema sasa wameamua kuaznisha mtindo wa kutoa nyimbo two in one yaani moja audio nyingine video na ikitoka ya video nyingine inatoka audio hayo ni kwa majibu wa meneja wa mapacha watatu KHAMIS DACOTA wakati nikfanya nae mahojiano ya moja kwa moja.
                             KHALID CHOKORAA,JOSE MARA AND JANUARY
KATIKA mikakati waliyo nayo kwa mujibu wa manger wa mapacha watatu khamic dakota kama mambo yakienda kama walivyopanga basi wako mbioni kutengeneza rhumba moja kali na mwanamuziki wa kimataifatoka congo kinshasa FERRE GORA akatika kuwafanya wao kimataifa aaid na hivi karibu wataweza kwenda kufanya show nchi za nje ingawa hajaweka wazi ni nchi gani hasa ambazo wataenda kufanya hizo show ila kwa wapenzi wa mapacha wawe tayari kupata nyimbo kali ya MAPACHA WATATU WAJUBA WAWILI NA FERRE GORA
               JUU NIKIWA NA MENEJA DACOTA CHINI NA JOSE MARA
MBALI na hilo pia dacota kasema mwishoni mwa mwezi wa kumi watakwenda kuizindua album yako kimataifa huku kwa sasa safu yake ikiwa imeongezeka wakali kibao ambapo kwa sasa pia wapo na mwandada CATHERIN ambae amekwisha zoea kufanya muziki lakini pia yupo mwanamuziki mweningine aneitwa KAMBI huku yule wa zaman JANUARY nae akiipa nguvu ya ajabu mapacha watatu huku akise jina litabaki kuwa lile lile na pacha watatu aliebaki sasa ni shabiki wa mapacha watatu

                                   KHALID CHUMA CHOKORAA MZIGONI

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...