WAY

Friday, August 3, 2012

Licha ya kuondoka kwa kalala jounior mapacha watatu wasema wako fresh na wameachia mbili lakini kwa sasa moja ndio ikitamba wakimshirikisha ally kiba sasa ni khalid,jose, na january

Licha ya kujiondoa kwa kalala jounior mapacha wameibuka na kusema bado wamo na tayari wameshachia mbli moja ikiwa inatikisa katika vituo mbali mbali vya radio wakiwa wameshirikisha ally kiba ikipewa jina la wanionea lakinii vile vile wameibuka nyingine ikiitwa wanaume wakiwa wamemshirikisha malkia wa mipasho tanzania khadija omary kopa na kusema mwishoni mwa mwezi wa kumi wako mbioni kuzindua album yao ya wosia wa babu
jose mara and me
huku akiongeza kwa kusema kuwa sasa mapacha watatu wataongezeka na mwimbaji wao wa siku nyingi january alkini mbio watakuwa na waimbaji wengine wawili wapya ambao sauti zao zitasikika katika album yao huku akisema january keshaanza kusikika katika wanaume lakini khalid aliongeza na kusema lile zengwe la kudaiwa share na na kalala washamalizana na hakuna nachodai katika band hiyo na yuko free kwa band yoyote atakayo taka kwenda, na kusema wakazi watanzania kwa ujumla wakae tayari kuipokea mapacha yenye moto ule ule wa mwanzo
                                      KHALID CHOKORAAAAA

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...