WAY

Wednesday, August 15, 2012

YVONE CHERRY a.k.a MONALISA AFUNGUKA KUHUSIANA NA SOKO LA FILAMU TANZANIA NA KUSEMA MADISTRIBUTER NDIO WANAFANYA WATU KUTOA PARTY NA PARTY TWO ISIPOLAZIMA LAKNI PIA AFUNGUKA KUHUSIANA NA SCANDEL ZA WASANII

KWA mtu anaefatilia tasnia ya uigizaji au filamu jina MONALISA si geni masikoni mwake na huyu pia alishawahi kuchukua tuzo mwaka 2010 kama msanii bora wa kike katika lile tamasha kubwa la ZIFF kwa wasiojua basi ni mwamama wa watoto wawili tu lakini kujitunza anaonekana bado msichana kabisaaa.
LEO NIMEZUNGUMZA NAE katika KONA YA BONGO FILAMU na ameweza kufunguka mengi sana kuhusiana na tasnia hiyo huku moja mambali aligusia ni kuhusiana na mlipuko wa movies ambazo karibu zote zina party one na twoo je kweli story zote zina party one na two!!? hapa akafunguka
                                           YVONE CHERRY AKIPOKEA TUZO YA ZIFF
"ZIPO STORY  zinazoweza kuwa mbili ingawa mtindi wa huu wa kutoa storymoja kwenda ya pili ni style isiyopendeza ambayo anaamini soon  mtindo huu utaweza kutokomea kwa mikakati iliyopo na wengi wanatengeneza moja na mbili kwa mara nyingi distributer wengi wao ndio wanaona faida yake badala ya kutengeneza ffilamu moja inayoisha,
                                   MLELA.MONALISA.MZEE CHILO
NA HILO lakini pia mona yuko mbioni kuanzisha talk show ya kwenye tv wakati huo pia anaendesha kipindi cha filamonata ndani ya times radio.
nilipo muuliza kuhusiana na skendo kuwachafulia na mwisho wa siku kuonekana wasanii wote wa filamu wanakua hawana maana AKAFUNGUA TENA NA KUSEMA
"Hadhani kama kwa kufanya hivyo kunawachafua wote ila hao ambao wanaandamwa na skendo ambazo anasema hataki kusema ni  za kutengeza ila mazingira mengine ya sknedo hizo ni za kutengeneza kwa sababu pich nyingine unakuta zimepigwa kabisa chumbani na anakua amejiandaaa sasa hapo ni biashara zaidi lakini tunapoelekea watanzania watajua nini hatma yake.

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...