WAY

Monday, August 6, 2012

EXTRA BONGO KUTUA TANZANIA NA VIDEO MPYA KALI WAMEWACHEZESHA WAZUNGU,WAKATIZA ZIARA YAO ULAYA KBLA YA MWEZI

Wakiwa mbioni kurejea tanzania extra bongo wazee wa kizigo ambao walikua wanatour ya karibu mwezi mzima ambayo imekatizwa katika baadhi ya nchi kutokana na mwezi wa ramadhani katika nchi kama NORYWAY lakini wamemaliza show yao ya mwisho SWEEDEN.

LE KAMARADE CHOKI
Akiongea kutoka SWEEDEN mkurugrnzi wa EXTRA BONGO,ALLY CHOKI amesema licha ya kukatiza ziara yao lakini pia wanampango wa kurejea tena huko kwa show zaidi za kulizinguka bara la ulaya ambapo kuna nchi zaidi watazunguka kama vile holland na noryway

Lakini pia CHOKI alisema kuwa hata hivyo wakirudi na washapata mkataba wa kufanya show kwenye baadhi ya mikoa ya kaskazini kupita kampuni moja ya ulizni inayomilikiwa na CHIEF KIUMBE na mwenzie kutoka kenya na watafanya show katika mikoa ya MWANZA,SHINYANGA,MUSOMA na kwingine huku pia wakitaraji kuzuru kusini kwa ajili ya show zaidi.
                                    ALLY CHOKI OFISINI

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...