WAY

Thursday, August 16, 2012

MASHUJAA MUSIC BAND WATOTO WA MAMAA SAKINA NA PAPAA MAISHA KUIVURUGA MTWARA BILA HURUMA SIKUU YA IDD MOSI NA IDD PILI MASASI NA MTWARA MJINI

BAND ambayo ni talk of the year MASHUJAA MUSIC BAND ikiongozwa na rasi waoCHALZ BABA KINGUNGE FERNANDO TORES watafanya show mbili ndani ya mtwara katika sikuku za idd ambaopo siku ya idd mosi watakua pale MASASI ndani ya ukumbi wa EMIRATES halafu show ya pili ambayo ndio itakua funga kazi itafanyika ndani ya mtwara town ndani ya ukumbi wa wastaarab MAKONDE BEACH CLUB
                                    CHALZ BABA NA MASOUD
AKIZUNGUMZA NA SAFARI RADIO RAIS CHAlZ BABA amesema kila kitu kipo tayari na watakuja kupiga nyimbo zao mpya na hadi hii leo karibu wanamuziki wote wapo fiti kuweeza kuwapa burudani wana mtwara
                                   CHALZ BABA AKIWA KAZINI
Watakaoshuka na kuwasha moto kusini ni CHALZ BABA MWENYEWE RAIS,FURGUSON MASKINI JEURI,YANIK NOAH SAUTI YA RADI,JADOH FFU MBISHI WA MAISHA,MASOUD NAMBA YA MWISHO na wengine wengi huku safu ya wanenguaji ikiongozwa na mwadada gwiji kaitka show LILIAN INTERTET TUNGARAZA ambae atasimama vyema katika kuhakikisha wanatoa burudabi ya kutosha kwa wakazi wa mtwara

0 comments:

Post a Comment

.

.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...